Nyamtalakyono
JF-Expert Member
- Dec 17, 2015
- 795
- 479
Loading.....Mh. Ester Matiko. Napenda kukupokeza kwa Kazi nzuri unazozifanya jimboni. Wewe ni Mbunge makini lakini hauko kwenye chama makini. Nakushauri hamia CCM ambacho ni chama makini ili uweze kufanya vizuri Kazi za kuwaletea maendeleo wananchi wako. Fuata nyayo za Mbunge wetu wa Serengeti Marwa Ryoba. Ni matumaini yangu utanisikiliza.
matokea ya kuwa na bunge LA chama kimoja yatatuhusu wote maana hata ninyi mmebanana nasi humu humu. Tumikeni tu.By the way Zanzibar vipi? Sorry mkuu nimesahau kuwa uwezo wetu wa kutumia mbongo tulizopewa na Muumba unapungua kadri njaa zinavyotuumaMh. Ester Matiko. Napenda kukupokeza kwa Kazi nzuri unazozifanya jimboni. Wewe ni Mbunge makini lakini hauko kwenye chama makini. Nakushauri hamia CCM ambacho ni chama makini ili uweze kufanya vizuri Kazi za kuwaletea maendeleo wananchi wako. Fuata nyayo za Mbunge wetu wa Serengeti Marwa Ryoba. Ni matumaini yangu utanisikiliza.
Enhe! kumbe nawewe hauna akili!!Mh. Ester Matiko. Napenda kukupokeza kwa Kazi nzuri unazozifanya jimboni. Wewe ni Mbunge makini lakini hauko kwenye chama makini. Nakushauri hamia CCM ambacho ni chama makini ili uweze kufanya vizuri Kazi za kuwaletea maendeleo wananchi wako. Fuata nyayo za Mbunge wetu wa Serengeti Marwa Ryoba. Ni matumaini yangu utanisikiliza.
Si mlishasusia uchaguzi. Sasa kwa nini asipite bila kupingwa.Mna sh ngapi?Je,mtampitisha bila kupingwa kura za maoni????
Mbona ninyi wenye akili hakuna mtu anahamia kwenu?Enhe! kumbe nawewe hauna akili!!
Hatuna muda mrefu sana huu upuuzi utaisha
Hawa wanaohama hawana future kwenye siasa
Future ipi? ya wizi, uongo na gilba?Future iko CCM kwingine ni upuuzi tu.
Samahani mkuu unaposema CCM kwenye context hii unamaanisha nini?Future iko CCM kwingine ni upuuzi tu.
Kura aliomba mwenyewe kwani ruzuku nyingi ilitumika kaskaziniKwenye ukoo wenu mna asili ya ukichaa wallah! Ubunge amepata kwa ridhaa ya wanachama wa CDM na sio ccm. kwa lugha nyingine unamwambia ahame ktk ufalme wa Mungu ahamie ktk ufalme wa 'yule aliye kinyume' na Mungu!
Huu ni ushauri murua kabisa kwa wabunge wote wa Chadema wanaoona mbali.Mh. Ester Matiko. Napenda kukupokeza kwa Kazi nzuri unazozifanya jimboni. Wewe ni Mbunge makini lakini hauko kwenye chama makini. Nakushauri hamia CCM ambacho ni chama makini ili uweze kufanya vizuri Kazi za kuwaletea maendeleo wananchi wako. Fuata nyayo za Mbunge wetu wa Serengeti Marwa Ryoba. Ni matumaini yangu utanisikiliza.
Kwetu wapi??....unaona usivyo kuwa na akili???Mbona ninyi wenye akili hakuna mtu anahamia kwenu?
Kama mawazo ya kuona mbali ni 2020, bado watakua hawaoni mbali! Mwaka huo siyo mwisho wa Tanzania, Tanzania itaendelea kuwepo wakiwa wameoza makaburini! Ona mbali, Paskali!Huu ni ushauri murua kabisa kwa wabunge wote wa Chadema wanaoona mbali.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums
P.
Lazaro Nyarandu atakuwa alikuwa CHAUMAMbona ninyi wenye akili hakuna mtu anahamia kwenu?