Ushauri kwa Dr. Steven Ulimboka: Usifanye kosa la "Kukuingiza kaburini"

Hivi mlishachungulia mauti nyie au mnasema tu.. Ulimboka hataki tena kuulimbokiwa ila nasikia wanamkatia fungu kubwa aanze maisha mapya na afunge mdomo kabisa la sivyo safari hii anafutika kabisa.

Case closed:wacko:
 
Mbona alishaeleza yote au mnataka arudie tena!!!
Baada ya kurejea toka Afrika kusini alikokuwa anatibiwa baada ya kufanyiwa unyama na watu wa TISS,Ulimboka anataka kufanya kile waingereza wanachoamini kuwa ni sawa na Grave mistake. Niliwahi kushauri siku chache kabla hajarejea kuwa mara atakapotua tu uwanja wa ndege wa JKNIA atuambie kwa ufasaha wale waliomteka na kumtesa. Kitendo cha kuendelea kukaa kimya hakiwezi kumuacha salama. Iwe ametishwa,amehongwa ama ameogopa yeye mwenyewe. Jambo moja litakalomtokea kwa yeye kuendelea kukaa kimya ni kuuawa. Ajue kila kukicha majitu ya TISS yanapanga namna ya kummaliza. Kama anafikiri natania akaulize kilichomtokea mkosoaji mashuhuri wa Kenya wakati wa utawala wa Moi ambapo baada ya mitego mingi ya kumuua kugonga mwamba alitekwa na watu wa usalama, akauawa na hatimaye kumwagiwa acid mwili mzima na kutupwa msituni. Aliokotwa na wawindaji ambao walitoa taarifa polisi na mwili wake kupelekwa mochwari. Wakati mhudumu wa mochwari akiuandaa mwili wa marehemu alikuta kitambulisho na ndipo alipogundua kuwa alikuwa ni Muruiki ambaye siku chache alikuwa amepotea. Mhudumu yule alituma sms kwa mmoja wa wabunge wa upinzani wakati bunge likiendelea. Moto uliwaka katika bunge la Kenya. Mpaka leo Muruiki ni marehemu na hakuna aliyekamatwa.

Ulimboka, Don'nt do what the British call as Grave Mistake. Usiposema sasa utakufa hakika. Tafakari.
 
Pengine anataka kulipiza kimya kimya kwanza.... Uovu aliotendewa mtu yeyote lazima alipize labda awe ameokoka baada ya kupona kwa kifo cha kabla ya wakati.....

Anashindwa kuelewa msimamo wa watanzania kama nani atakuja kumsapoti wengi ni waoga... na ashiaki kwa nani hivi maana haijakaa sawa hii... Sijasikia Raisi akienda kumtembelea na kumjulia hali yake au keshaenda kimya kimya na kumuambia amezee anampa kiwizara akiongoze kumpunguzia machungu kama Mnyakyusa mwenzake Mwaikyembe.. watu wa mbeyaa akuwaahidi kicheo wanamezea tu wana tizama future tu.... ndio manawamalawi wanawataka sana kuwarejesha kwenye himaya yao...
 
Mwambieni aje JF akutane na ushauri huu

lazma anaiso jf mkuu! jf tena! sema yule hawezi kusema kitu tena kuhusu ile ishu yake, asikuwambie mtu yaliyomkuta dr yale sio mchezo, hawezi kujiweka weka rehani tena! yy afanye uamuzi sahihi wakumuweka huru tu na si kusikiliza watu wanaotaka habari za kuuzia magazeti yao.
 
Kama kauli yake ni hiyo, naamini huyu Ulimboka ALIFUMANIWA na mke wa mtu, sasa jeshi la polisi limfungulie mashtaka kwa kuwasema maofisa wa TISS kuwa walimteka na kumpiga. Huyu ni mtu hatari sana na NDUMILAKUWILI siye mtu wa kuaminika tena. Anamwachia Mungu kwani alimtuma akafumaniwe? Sasa ni wakati wa Jeshi la polisi kumfungulia mashtaka ya kuwadhalilisha kuwa alitekwa, mimi nachukua nafasi yangu kumpuuza kwa kutupotezea muda wetu kumuombea apone, kumbe hana maana.
 
Baada ya kurejea toka Afrika kusini alikokuwa anatibiwa baada ya kufanyiwa unyama na watu wa TISS,Ulimboka anataka kufanya kile waingereza wanachoamini kuwa ni sawa na Grave mistake. Niliwahi kushauri siku chache kabla hajarejea kuwa mara atakapotua tu uwanja wa ndege wa JKNIA atuambie kwa ufasaha wale waliomteka na kumtesa. Kitendo cha kuendelea kukaa kimya hakiwezi kumuacha salama. Iwe ametishwa,amehongwa ama ameogopa yeye mwenyewe. Jambo moja litakalomtokea kwa yeye kuendelea kukaa kimya ni kuuawa. Ajue kila kukicha majitu ya TISS yanapanga namna ya kummaliza. Kama anafikiri natania akaulize kilichomtokea mkosoaji mashuhuri wa Kenya wakati wa utawala wa Moi ambapo baada ya mitego mingi ya kumuua kugonga mwamba alitekwa na watu wa usalama, akauawa na hatimaye kumwagiwa acid mwili mzima na kutupwa msituni. Aliokotwa na wawindaji ambao walitoa taarifa polisi na mwili wake kupelekwa mochwari. Wakati mhudumu wa mochwari akiuandaa mwili wa marehemu alikuta kitambulisho na ndipo alipogundua kuwa alikuwa ni Muruiki ambaye siku chache alikuwa amepotea. Mhudumu yule alituma sms kwa mmoja wa wabunge wa upinzani wakati bunge likiendelea. Moto uliwaka katika bunge la Kenya. Mpaka leo Muruiki ni marehemu na hakuna aliyekamatwa.

Ulimboka, Don'nt do what the British call as Grave Mistake. Usiposema sasa utakufa hakika. Tafakari.

You couldnt have put it any better! you are quite right, the silly demons still want him dead to cover their tracks! best option is to spill it all; then the motivation to knock him off diminishes as their own fear of recrimination takes centre stage; Go go ulli, truth will set you free.
 
Ukweli ni kuwa ni hatari sana kwake kukaa kimya hata akiwa amehongwa. Hisia za watanzania kwa sasa ni kuwa kukaa kwakekimya ni kuwa ameshapokea chochote kitu ili anyamaze...anaweza kupingana na hilo lakini huu ndiyo ukweli uliomo kwenye hisia za wengi wetu
 
Baada ya kurejea toka Afrika kusini alikokuwa anatibiwa baada ya kufanyiwa unyama na watu wa TISS,Ulimboka anataka kufanya kile waingereza wanachoamini kuwa ni sawa na Grave mistake. Niliwahi kushauri siku chache kabla hajarejea kuwa mara atakapotua tu uwanja wa ndege wa JKNIA atuambie kwa ufasaha wale waliomteka na kumtesa. Kitendo cha kuendelea kukaa kimya hakiwezi kumuacha salama. Iwe ametishwa,amehongwa ama ameogopa yeye mwenyewe. Jambo moja litakalomtokea kwa yeye kuendelea kukaa kimya ni kuuawa. Ajue kila kukicha majitu ya TISS yanapanga namna ya kummaliza. Kama anafikiri natania akaulize kilichomtokea mkosoaji mashuhuri wa Kenya wakati wa utawala wa Moi ambapo baada ya mitego mingi ya kumuua kugonga mwamba alitekwa na watu wa usalama, akauawa na hatimaye kumwagiwa acid mwili mzima na kutupwa msituni. Aliokotwa na wawindaji ambao walitoa taarifa polisi na mwili wake kupelekwa mochwari. Wakati mhudumu wa mochwari akiuandaa mwili wa marehemu alikuta kitambulisho na ndipo alipogundua kuwa alikuwa ni Muruiki ambaye siku chache alikuwa amepotea. Mhudumu yule alituma sms kwa mmoja wa wabunge wa upinzani wakati bunge likiendelea. Moto uliwaka katika bunge la Kenya. Mpaka leo Muruiki ni marehemu na hakuna aliyekamatwa.

Ulimboka, Don'nt do what the British call as Grave Mistake. Usiposema sasa utakufa hakika. Tafakari.
Tatizo la wabongo mnapenda sana udaku, Ulimboka is a wise man, na ndivyo hivyox2 mtu mwenye busara yeyote angefanya. na uvumi wote huo mnataka kuukoleza moto kwa sababu mumeumbuka, kwa kutoa habari zisizo na mashiko. sasa mnalazimisha ulimboka aongee kutokana na hisia zenu. Ulimboka amejikabidhi kwa Mungu, na hakuna mikono salama zaidi ya Mungu, kwa ufupi kila mtu atakufa siku zake zikifika. so muacheni mwenzenu apumuzike acheni umbeya. Ulimboka na Mungu ndo wanajua kilichotokea, na ni Mungu Pekee ndo atakuwa judge wa hili. So big up ulimboka nakutakia afya njema na maisha marefu.
 
Pengine anataka kulipiza kimya kimya kwanza.... Uovu aliotendewa mtu yeyote lazima alipize labda awe ameokoka baada ya kupona kwa kifo cha kabla ya wakati.....

Anashindwa kuelewa msimamo wa watanzania kama nani atakuja kumsapoti wengi ni waoga... na ashiaki kwa nani hivi maana haijakaa sawa hii... Sijasikia Raisi akienda kumtembelea na kumjulia hali yake au keshaenda kimya kimya na kumuambia amezee anampa kiwizara akiongoze kumpunguzia machungu kama Mnyakyusa mwenzake Mwaikyembe.. watu wa mbeyaa akuwaahidi kicheo wanamezea tu wana tizama future tu.... ndio manawamalawi wanawataka sana kuwarejesha kwenye himaya yao...
mkuu wa kaya alitaka kumtembelea akiwa pale MOI jamaa akakataa,dr.ulimboka anamisimamo mikali sana,hatujui amepanga nini sasa hivi
 
Sitegemei taarifa yoyote kutoka kwa huyu jamaa haswa baada ya statement yake ya "namwachia mungu" another mwakyembe
 
Nilikuwa namuheshimu Dr. Ulimboka, lakini kimya chake kinaweka heshima yake rehani. Mh Mwakyembe alikuwa vivyo hivyo mwishowe kahongwa Uwaziri wa Uchukuzi. Wazungu husema "history repeats itself"
 
Mimi ningekuwa Dk. Ulimboka ningekaa kimya.

Dk. Ulimboka aliongoza mgomo wa madaktari, Je madakatari wamefanya nini baada ya kutekwa kwa Ulimboka kama sio kumsaliti????

Yaliyojiri katika sekta ya udaktari baada ya kutekwa Ulimboka ni ujumbe tosha kwamba Kuongoza mgomo lilikuwa jambo binafsi la Dk. Ulimboka.

Kama ataendelea kuzungumza bado ni jambo binafsi...... madaktari wamemtelekeza ni bora na yeye awatelekeze.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom