Ushauri kwa DPP: Kwa Ushahidi wa Shahidi wako wa kwanza Kesi ya Uchochezi ya Tundu Lissu, Nolle ni busara kuliko Serikali kuvuliwa nguo hadharani

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,494
Reaction score
57,869
Silvester Mwakitalu.

Sidhani kama kesi zilizofunguliwa dhidi ya Tundu Lissu zilipata baraka zako za kitaalam kabla ya kuwasilishwa Mahakamani. Nasema haya kwa sababu nakujua vizuri. Wewe ni mtu muungwana na mlokole sana.

Leo napenda kukushauri, kwa namna Shahidi wako wa kwanza alivyoanza kuelezea ushahidi wake dhidi ya mashtaka yanayomkabili Tundu Lissu. Ni busara kuficha aibu ya Serikali mbele ya wananchi na Wageni wa Kimataifa wanaohudhuria kwenye ile kesi kila siku kwa kuwasilisha nia ya kutoendelea na lile shauri.

Sababu kuu ni moja tu- Shahidi wako alieanzisha upelelezi wa Mashtaka yanayomkabili Lissu ya Uchochezi amesema hadharani na karekodiwa Mahakamani kuwa "alidhani Lissu alitenda kosa"

Najua unaelewa maana ya kudhani au kufikiri kwenye muktadha wa kisheria. Kwa kifupi kudhani au kufikiri kitaalam ni kupiga ramli. Mpelelezi hapigi ramli, mpelelezi anapeleleza kosa lenye mashiko kwa mujibu wa Sheria.

Kwa namna shahidi wenu wa leo alivyojielezea Mahakamani, na kwa kuwa kesi hii inafuatiliwa na mamilioni ya watu nje na ndani ya Taifa, kuepusha aibu nawashauri tu muende ku nolle. Msiponolle shauri hili, kuna aibu kuu itapata Serikali kwenye Cross examination. Kwa namna ninavyowajua Jeremiah Mtobesya, Peter Kibatala na Mpale Mpoki bila kusahau Tundu Lissu mwenyewe, mnaweza kuomba Camera zizimwe au ardhi ipasuke siku shahidi wenu atakapokuwa Cross examined.

Kuna kitu kikubwa sana mnaweza msikione kwa sasa, ila kwa namna mashahidi wenu watakavyoadhirika kwenye haya mashauri kuna picha itatengenezwa rasmi juu ya Taifa letu kimataifa kuwa ni Taifa linaloshitaki watu wake makosa ya uongo na ya kutengeneza. Na mtahitaji miaka mingine 50 kuwa convince donors, lenders na wawekezaji kuwa nyie sio Taifa la namna hiyo.
 
Leo napenda kukushauri, kwa namna Shahidi wako wa kwanza alivyoanza kuelezea ushahidi wake dhidi ya mashtaka yanayomkabili Tundu Lissu. Ni busara kuficha aibu ya Serikali mbele ya wananchi na Wageni wa Kimataifa wanaohudhuria kwenye ile kesi kila siku kwa wasilisha nia ya kutoendelea na lile shauri.

Najua wote unaelewa maana ya kudhani au kufikiri. Kwa kifupi kudhani au kufikiri kitaalam ni kupiga ramli. Mpelelezi hapigi ramli, mpelelezi anapeleleza kosa lenye mashiko kwa mujibu wa Sheria.

Daaaaa yule mpuuzii mkubwa hapo atapewa cheo sababu kafanya watakayo wakubwaa....
 
Si muda wa kuwashtua wale wenye ukiziwi wa kubumba na watoa "hoorays' kwa malikia bila tafakari ya upevu wa fikra kuusoma mustakbali wa kesho ya nchi.Baadaye watakwambia kwa bezo na deko kwamba "walipanga kushindwa zoezi" kabla hata haujafumbua macho achilia mbali akili yako.
 
Silvester Mwakitalu.

Sidhani kama kesi zilizofunguliwa dhidi ya Tundu Lissu zilipata baraka zako za kitaalam kabla ya kuwasilishwa Mahakamani. Nasema haya kwa sababu nakujua vizuri. Wewe ni mtu muungwana na mlokole sana.

Leo napenda kukushauri, kwa namna Shahidi wako wa kwanza alivyoanza kuelezea ushahidi wake dhidi ya mashtaka yanayomkabili Tundu Lissu. Ni busara kuficha aibu ya Serikali mbele ya wananchi na Wageni wa Kimataifa wanaohudhuria kwenye ile kesi kila siku kwa wasilisha nia ya kutoendelea na lile shauri.

Sababu kuu ni moja tu- Shahidi wako alieanzisha upelelezi wa Mashtaka yanayomkabili Lissu ya Uchochezi amesema hadharani na karekodiwa Mahakamani kuwa "alidhani Lissu alitenda kosa"

Najua wote unaelewa maana ya kudhani au kufikiri. Kwa kifupi kudhani au kufikiri kitaalam ni kupiga ramli. Mpelelezi hapigi ramli, mpelelezi anapeleleza kosa lenye mashiko kwa mujibu wa Sheria.

Kwa namna shahidi wenu wa leo alivyojielezea Mahakamani, na kwa kuwa kesi hii inafuatiliwa na mamilioni ya watu nje na ndani ya Taifa, kuepusha aibu nawashauri tu muende ku nolle. Msiponolle shauri hili, kuna aibu kuu itapata Serikali kwenye Cross examination. Kwa namna ninavyowajua Jeremiah Mtobesya, Peter Kibatala na Mpale Mpoki bila kusahau Tundu Lissu mwenyewe, mnaweza kuomba Camera zizimwe au ardhi ipasuke siku shahidi wenu atakapokuwa Cross examined.

Kuna kitu kikubwa sana mnaweza msikione kwa sasa, ila kwa namna mashahidi wenu watakavyoadhirika kwenye haya mashauri kuna picha itatengenezwa rasmi juu ya Taifa letu kimataifa kuwa ni Taifa linaloshitaki watu wake makosa ya uongo na ya kutengeneza. Na mtahitaji miaka mingine 50 kuwa convince donors, lenders na wawekezaji kuwa nyie sio Taifa la namna hiyo.
[/Leo napenda kukushauri, kwa namna Shahidi wako wa kwanza alivyoanza kuelezea ushahidi wake dhidi ya mashtaka yanayomkabili Tundu Lissu. Ni busara kuficha aibu ya Serikali mbele ya wananchi na Wageni wa Kimataifa wanaohudhuria kwenye ile kesi kila siku kwa wasilisha nia ya kutoendelea na lile shauri.]
 
Silvester Mwakitalu.

Sidhani kama kesi zilizofunguliwa dhidi ya Tundu Lissu zilipata baraka zako za kitaalam kabla ya kuwasilishwa Mahakamani. Nasema haya kwa sababu nakujua vizuri. Wewe ni mtu muungwana na mlokole sana.

Leo napenda kukushauri, kwa namna Shahidi wako wa kwanza alivyoanza kuelezea ushahidi wake dhidi ya mashtaka yanayomkabili Tundu Lissu. Ni busara kuficha aibu ya Serikali mbele ya wananchi na Wageni wa Kimataifa wanaohudhuria kwenye ile kesi kila siku kwa kuwasilisha nia ya kutoendelea na lile shauri.

Sababu kuu ni moja tu- Shahidi wako alieanzisha upelelezi wa Mashtaka yanayomkabili Lissu ya Uchochezi amesema hadharani na karekodiwa Mahakamani kuwa "alidhani Lissu alitenda kosa"

Najua unaelewa maana ya kudhani au kufikiri kwenye muktadha wa kisheria. Kwa kifupi kudhani au kufikiri kitaalam ni kupiga ramli. Mpelelezi hapigi ramli, mpelelezi anapeleleza kosa lenye mashiko kwa mujibu wa Sheria.

Kwa namna shahidi wenu wa leo alivyojielezea Mahakamani, na kwa kuwa kesi hii inafuatiliwa na mamilioni ya watu nje na ndani ya Taifa, kuepusha aibu nawashauri tu muende ku nolle. Msiponolle shauri hili, kuna aibu kuu itapata Serikali kwenye Cross examination. Kwa namna ninavyowajua Jeremiah Mtobesya, Peter Kibatala na Mpale Mpoki bila kusahau Tundu Lissu mwenyewe, mnaweza kuomba Camera zizimwe au ardhi ipasuke siku shahidi wenu atakapokuwa Cross examined.

Kuna kitu kikubwa sana mnaweza msikione kwa sasa, ila kwa namna mashahidi wenu watakavyoadhirika kwenye haya mashauri kuna picha itatengenezwa rasmi juu ya Taifa letu kimataifa kuwa ni Taifa linaloshitaki watu wake makosa ya uongo na ya kutengeneza. Na mtahitaji miaka mingine 50 kuwa convince donors, lenders na wawekezaji kuwa nyie sio Taifa la namna hiyo.

..kuna fununu kwamba yule shahidi sio Inspector wa Polisi kinyume na alivyotambulishwa mahakamani.
 
Yule bibi kwa umbumbumbu wake anaweza kumtumbua DPP endapo atazitupilia mbali kesi za Lisu. Kwa akili yake yeye anadhani hata ujinga unawezekana mbele ya sheria.
Ni tatizo kubwa sana kuwa na vilaza kwenye ngazi ya juu ya maamuzi.
 
..kuna fununu kwamba yule shahidi sio Inspector wa Polisi kinyume na alivyotambulishwa mahakamani.
Tabia ya Serikali kupika ushahidi itawacost big time safari hii.

Nchi hii inakuwa paralysed kwa siasa kuingilia utendaji.
 
Hakuna wanachokifanya (mahakama na DPP) zaidi ya kupokea maelekezo ya ku-buy time ili uchaguzi upite kisa kesi ifutwe!
 
Shahidi wa jana walivyoona amechemka wakatumiana ujumbe na kuomba asitishe kuendelea na ushahidi hadi wakati mwingine
 
Back
Top Bottom