Ushauri kwa CCM: Mwondoeni Lowassa kwa Mdahalo

Warue

JF-Expert Member
Aug 9, 2012
424
810
WanaJF
Jana tumeshudia mtia nia wa pili ccm akitangaza rasmi safari alioiita ya matumaini kwake. Kwa uhakika kwa umati ule wa watu hata wagombea wengine wenye roho nyepesi wanaweza kujiodoa kwenye kinyang'anyiro. Kwa wagombea wengine wa CCM, rai yangu kwenu ni kwamba msiogope,,mpinzani wenu mkuu ni mlaini sana ila msitumie hila kumuondoa, tumieni haki na ataondoka mwenyewe.

Najua na ninaamini JK yupo kwenye wakati mgumu sana kipindi kwa sababu kuu mbili;
1. Kuhakikisha chama hakipasuki kutokana na tofauti kubwa iliopo kati ya makundi ya urais
2. Kuhakikisha mteule wa CCM anashinda katika uchaguzi mkuu hapo october.

Katika kufikia maamuzi yenye matunda kwa chama na kwa usalama ya nchi yetu, ni lazima ENL aondolewe kwenye mchakato tena mapema kabisaaa kwani,
1. Hana ajenda
2. Amechafuka
3. Afya yake sio nzuri sana
4. Kuna uwezekano wa kisasi
5. Kundi lake limejaa wachafu
6. Ana marafiki wengi mno
7. Kampuni zake zinanyonya waTz

NAMNA YA KUMUINDOA LOWASA.

Kwa sababu hana ajenda na hawezi kuongea kuwaconvince watu, basi chama kitumie DEBATE kwa watia nia wote. Napendekeza debate 5 na zionyeshwe live kupitia channel zote. Nina uhakika kati ya wagombea wote Lowasa atakuwa wa mwisho.

FAIDA YA DEBATE KWA CCM

Udhaifu wake utakuwa umeonekana na hivyo hata akikatwa jina hakutakuwa na wa kumhurumia. Atakuwa amejiondoa mwenyewe.

Nawasilisha.
 
nchi haihitaji mpiga domo,inahitaji mtendaji,debate tumeziona sana kwa jk,lowasa ni mtendaji
 
nchi haihitaji mpiga domo,inahitaji mtendaji,debate tumeziona sana kwa jk,lowasa ni mtendaji[/QUOTE]

Kama huwezi kuelezea hata ulichonacho moyoni, utaweza kuyatenda??
 
WanaJF
Jana tumeshudia mtia nia wa pili ccm akitangaza rasmi safari alioiita ya matumaini kwake. Kwa uhakika kwa umati ule wa watu hata wagombea wengine wenye roho nyepesi wanaweza kujiodoa kwenye kinyang'anyiro. Kwa wagombea wengine wa CCM, rai yangu kwenu ni kwamba msiogope,,mpinzani wenu mkuu ni mlaini sana ila msitumie hila kumuondoa, tumieni haki na ataondoka mwenyewe.

Najua na ninaamini JK yupo kwenye wakati mgumu sana kipindi kwa sababu kuu mbili;
1. Kuhakikisha chama hakipasuki kutokana na tofauti kubwa iliopo kati ya makundi ya urais
2. Kuhakikisha mteule wa CCM anashinda katika uchaguzi mkuu hapo october.

Katika kufikia maamuzi yenye matunda kwa chama na kwa usalama ya nchi yetu, ni lazima ENL aondolewe kwenye mchakato tena mapema kabisaaa kwani,
1. Hana ajenda
2. Amechafuka
3. Afya yake sio nzuri sana
4. Kuna uwezekano wa kisasi
5. Kundi lake limejaa wachafu
6. Ana marafiki wengi mno
7. Kampuni zake zinanyonya waTz

NAMNA YA KUMUINDOA LOWASA.

Kwa sababu hana ajenda na hawezi kuongea kuwaconvince watu, basi chama kitumie DEBATE kwa watia nia wote. Napendekeza debate 5 na zionyeshwe live kupitia channel zote. Nina uhakika kati ya wagombea wote Lowasa atakuwa wa mwisho.

FAIDA YA DEBATE KWA CCM

Udhaifu wake utakuwa umeonekana na hivyo hata akikatwa jina hakutakuwa na wa kumhurumia. Atakuwa amejiondoa mwenyewe.

Nawasilisha.

hakufai ww unayekumbatia umasikini na kuwataka wanao wawe ombaomba...
 
Naunga mkono hoja EL ni kama robot haliongei ghafla hadi alishwe maneno so kwenye debate atakua anachemka mwanzo mwisho
 
Jana mheshimiwa alikuwa anaongozwa na mara nyingi alikuwa anajisahau anachotakiwa kufanya mpaka akumbushwe. Urais jamani sio U-Hp
 
nchi haihitaji mpiga domo,inahitaji mtendaji,debate tumeziona sana kwa jk,lowasa ni mtendaji

Kama huwezi kuelezea hata ulichonacho moyoni, utaweza kuyatenda??[/QUOTE]
Warue na Chinembe ni mtu mmoja?
 
Mh aliahidi: nipe ni urais na ndani ya miezi sita traffic jam dar es salaam itakuwa historia. Hapa nikaona siasa ni hatari, unadanganya waziwazi bila kuangalia ukubwa wa tatizo!
 
nchi haihitaji mpiga domo,inahitaji mtendaji,debate tumeziona sana kwa jk,lowasa ni mtendaji

Akili kama sisimizi aisee hivi hujui dunia iliyoendelea inahitaji watu uwakilishi wa watu wenye uwezo wa kujenga hoja na kuyasimamia yale unayoyaamini kwa hoja makini ili uweze kupata uungwaji mkono
 
umekula maharage ya wapi
 
debate unafikiri nchi ni sawa na zile debate mnafanya kwenye english club form two
 
WanaJF
Jana tumeshudia mtia nia wa pili ccm akitangaza rasmi safari alioiita ya matumaini kwake. Kwa uhakika kwa umati ule wa watu hata wagombea wengine wenye roho nyepesi wanaweza kujiodoa kwenye kinyang'anyiro. Kwa wagombea wengine wa CCM, rai yangu kwenu ni kwamba msiogope,,mpinzani wenu mkuu ni mlaini sana ila msitumie hila kumuondoa, tumieni haki na ataondoka mwenyewe.

Najua na ninaamini JK yupo kwenye wakati mgumu sana kipindi kwa sababu kuu mbili;
1. Kuhakikisha chama hakipasuki kutokana na tofauti kubwa iliopo kati ya makundi ya urais
2. Kuhakikisha mteule wa CCM anashinda katika uchaguzi mkuu hapo october.

Katika kufikia maamuzi yenye matunda kwa chama na kwa usalama ya nchi yetu, ni lazima ENL aondolewe kwenye mchakato tena mapema kabisaaa kwani,
1. Hana ajenda
2. Amechafuka
3. Afya yake sio nzuri sana
4. Kuna uwezekano wa kisasi
5. Kundi lake limejaa wachafu
6. Ana marafiki wengi mno
7. Kampuni zake zinanyonya waTz

NAMNA YA KUMUINDOA LOWASA.

Kwa sababu hana ajenda na hawezi kuongea kuwaconvince watu, basi chama kitumie DEBATE kwa watia nia wote. Napendekeza debate 5 na zionyeshwe live kupitia channel zote. Nina uhakika kati ya wagombea wote Lowasa atakuwa wa mwisho.

FAIDA YA DEBATE KWA CCM

Udhaifu wake utakuwa umeonekana na hivyo hata akikatwa jina hakutakuwa na wa kumhurumia. Atakuwa amejiondoa mwenyewe.

Nawasilisha.

Mtajua wenyewe mtakakavyo chujana sisi tunawangoja kwenye uchaguzi tu
 
Honestly JK hahitaji kufanya chochote. Lowassa amejiondoa mwenyewe kwa poor showing yake jana. Ukiona mtu aliyewahi kuwa waziri mkuu anazidiwa substance na Junior Minister ujue kuna tatizo hapo.

hata maoni ya watu humu JF yanaonesha he is so far the last.., kinachomuweka midomodi kwa watu ni ufisadi wake na pesa, na sio hoja zake.

hapo bado msururu wa wagombea hawajatangaza hotuba zao. kuna Mwandosya(very inteligent), Membe ( mbovu lakini sio mweupe kichwani kama eddo), January ( alikuwa mwandishi wa hotubwa wa JK, hivyo nina uhakika hatakosa vya kuandika au kuongea kihoja), Makongoro ( Huyu akisema anaichukia rushwa naanataka kuleta mabadiliko CCM, ataaminika kwa kuwa ni relatively outsider,lakini ana heavy pull ya nasaba yake),na wengineo

Hapa Lowasa takuwa mkiani labda na kina Pinda,Ngeleja na wengineo wasindikizaji.., Mbaya zaidi ikitokea heavyweights wengine kama kina Dr.Salim wajitose basi ndio game over kwa Eddo.

So far the most damaging to Eddo ni Wassira, kwani he is as experienced, he is better placed kama CCM wakiamua kuchagua old guard and he knows what he is talking about.
 
Back
Top Bottom