Th los proffcnal
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 583
- 348
Ushauri mzuri sana...
Honestly JK hahitaji kufanya chochote. Lowassa amejiondoa mwenyewe kwa poor showing yake jana. Ukiona mtu aliyewahi kuwa waziri mkuu anazidiwa substance na Junior Minister ujue kuna tatizo hapo.
hata maoni ya watu humu JF yanaonesha he is so far the last.., kinachomuweka midomodi kwa watu ni ufisadi wake na pesa, na sio hoja zake.
hapo bado msururu wa wagombea hawajatangaza hotuba zao. kuna Mwandosya(very inteligent), Membe ( mbovu lakini sio mweupe kichwani kama eddo), January ( alikuwa mwandishi wa hotubwa wa JK, hivyo nina uhakika hatakosa vya kuandika au kuongea kihoja), Makongoro ( Huyu akisema anaichukia rushwa naanataka kuleta mabadiliko CCM, ataaminika kwa kuwa ni relatively outsider,lakini ana heavy pull ya nasaba yake),na wengineo
Hapa Lowasa takuwa mkiani labda na kina Pinda,Ngeleja na wengineo wasindikizaji.., Mbaya zaidi ikitokea heavyweights wengine kama kina Dr.Salim wajitose basi ndio game over kwa Eddo.
So far the most damaging to Eddo ni Wassira, kwani he is as experienced, he is better placed kama CCM wakiamua kuchagua old guard and he knows what he is talking about.
debate unafikiri nchi ni sawa na zile debate mnafanya kwenye english club form two
Mtajua wenyewe mtakakavyo chujana sisi tunawangoja kwenye uchaguzi tu
WanaJF
Jana tumeshudia mtia nia wa pili ccm akitangaza rasmi safari alioiita ya matumaini kwake. Kwa uhakika kwa umati ule wa watu hata wagombea wengine wenye roho nyepesi wanaweza kujiodoa kwenye kinyang'anyiro. Kwa wagombea wengine wa CCM, rai yangu kwenu ni kwamba msiogope,,mpinzani wenu mkuu ni mlaini sana ila msitumie hila kumuondoa, tumieni haki na ataondoka mwenyewe.
Najua na ninaamini JK yupo kwenye wakati mgumu sana kipindi kwa sababu kuu mbili;
1. Kuhakikisha chama hakipasuki kutokana na tofauti kubwa iliopo kati ya makundi ya urais
2. Kuhakikisha mteule wa CCM anashinda katika uchaguzi mkuu hapo october.
Katika kufikia maamuzi yenye matunda kwa chama na kwa usalama ya nchi yetu, ni lazima ENL aondolewe kwenye mchakato tena mapema kabisaaa kwani,
1. Hana ajenda
2. Amechafuka
3. Afya yake sio nzuri sana
4. Kuna uwezekano wa kisasi
5. Kundi lake limejaa wachafu
6. Ana marafiki wengi mno
7. Kampuni zake zinanyonya waTz
NAMNA YA KUMUINDOA LOWASA.
Kwa sababu hana ajenda na hawezi kuongea kuwaconvince watu, basi chama kitumie DEBATE kwa watia nia wote. Napendekeza debate 5 na zionyeshwe live kupitia channel zote. Nina uhakika kati ya wagombea wote Lowasa atakuwa wa mwisho.
FAIDA YA DEBATE KWA CCM
Udhaifu wake utakuwa umeonekana na hivyo hata akikatwa jina hakutakuwa na wa kumhurumia. Atakuwa amejiondoa mwenyewe.
Nawasilisha.
debate unafikiri nchi ni sawa na zile debate mnafanya kwenye english club form two
Ufahamu wako finyu marekani wanapofanya debate na wagombea ni vichaa au wanakumbuka sekondari ? Jipime
kumbe wafuasi wa Lowasali ni vibudu. majibu gani haya. Lowasali wenu hajui anachoongea, hawezi kujenga hoja, ina maana hana analolijuwa. Na wewe mtetezi wake unaongea uchwala, unaonekana ni aina ileile ya lowasali.debate unafikiri nchi ni sawa na zile debate mnafanya kwenye english club form two