Ushauri kwa Benki Kuu ya Tanzania (BOT)

Ushauri kwa Benki Kuu ya Tanzania (BOT)

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,727
Reaction score
11,110
Kutokana Hali ya kiuchumi Ninayo Iona naishauri BOT kutengeneza noti za TSH elfu 50 laki 1 na elfu 30

Noti ya elfu 10 imeshuka thamani huenda ikapotea kama TSH 50 na na zingine zingine

Maana ndani ya miaka mitano ijayo elfu 10 itakuwa Haina thamani kabisa
 
Kutokana Hali ya kiuchumi Ninayo Iona naishauri BOT kutengeneza noti za TSH elfu 50 laki 1 na elfu 30
Ndugu zetu ZIMBABWE walianza hivi hivi

Matokeo yake: Picha zinajieleza
---
1760693240626.jpeg

---
1760693320276.webp

---
1760693404996.png

---
1760693459065.png
 
Back
Top Bottom