Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,100
- 2,709
Hana sababu ya kujiuzulu. Wale wanafiki walikuwa wanamsakama. Chanjo ya Covid ina matatizo,yeye hana sababu ya kujiuzulu. Ushauri wako ni mbaya.
Aende Bungeni aongee kuhusu mambo mengine. Kwenye pulpit aongee mambo mengine. Hakuna haja ya kuitaja Covid 19 vaccine na kusababisha mabomu ya machozi yarushwe Kanisani.
Sidhani kama wafuasi wake wanataka ajiuzulu.
Hakuna mtu amemtishia maisha. Ajiuzulu tu kwa sababu watu wanaongea blah blah? Maneno mangapi ya wazabizabina wewe unavumilia mtaani?