jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,782
Mimi binafsi sikatai kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa ila kwa mtindo huu unaanzisha chama kwa hasira,
sidhan kama patakuwa na muda wa kujenga chama bali ni kumkomoa yule uliyegombana nae,na huo si upinzan,
upinzani ni sera hata kama ni za uongo lakin lengo ni kuleta chachu ya maendeleo,kwa uelewa wangu kuanzisha chama
si kazi bali kazi ni kukijenga,mfano ccj kilijifia chenyewe bila kuuwawa na mtu yeyote,ushauri wangu ni heri ACT wangerudi chadema waombe radhi tusonge mbele na kujenga upinzani imara au muende ccm tu tujue moja maana
mikutano yao mingi inafadhiliwa na ccm sasa hapo kuna upinzani?pia niwapongeze chadema kwa kutufumbua macho
watz,na kwa uthubutu wa kutimua anayekwenda kinyume na chama,na kwa misimamo yenu hata kama chadema
itakwisha{siombei} hadi hapo mmetusaidia hata chadema wanapokosea na wao ni binadam penye ukweli lazima tuseme.
Hongereni chadema muwe na mshikamano mpaka kieleweke.
basi waende ccm maana ndo wafadhili wao,chukulia arusha wanafungua ofisi jiran na cdm na kila kukicha hawachokiKwa kosa gani hasa? ACT watarudije CHADEMA kama taasisi? Kwa nini unaamini ili kufanya siasa za upinzani lazima uwe CDM?
Wewe si msomi bana sasa hapo hilo swali lako halihitajiki kilichokuwa kinahitajika ni kujibu kile kilkichoandikwa yaani kuanzisha chama cha Upinzani kwa hasira tu kwa kuwa mmefukuzwa Chadema wasomi wengine bana lol hawa wasomi wa Tanganyika wanatupa maswali mengi bila ya majibu yaani walivyopata usomi wao.Jibu swali jakheeKwa kosa gani hasa? ACT watarudije CHADEMA kama taasisi? Kwa nini unaamini ili kufanya siasa za upinzani lazima uwe CDM?
Kwa kosa gani hasa? ACT watarudije CHADEMA kama taasisi? Kwa nini unaamini ili kufanya siasa za upinzani lazima uwe CDM?
Mimi binafsi sikatai kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa ila kwa mtindo huu unaanzisha chama kwa hasira, sidhan kama patakuwa na muda wa kujenga chama bali ni kumkomoa yule uliyegombana nae,na huo si upinzan, upinzani ni sera hata kama ni za uongo lakin lengo ni kuleta chachu ya maendeleo,kwa uelewa wangu kuanzisha chama si kazi bali kazi ni kukijenga,mfano ccj kilijifia chenyewe bila kuuwawa na mtu yeyote.
Ushauri wangu ni heri ACT wangerudi chadema waombe radhi tusonge mbele na kujenga upinzani imara au muende ccm tu tujue moja maana mikutano yao mingi inafadhiliwa na ccm sasa hapo kuna upinzani?pia niwapongeze chadema kwa kutufumbua macho watz,na kwa uthubutu wa kutimua anayekwenda kinyume na chama,na kwa misimamo yenu hata kama chadema itakwisha{siombei} hadi hapo mmetusaidia hata chadema wanapokosea na wao ni binadam penye ukweli lazima tuseme. Hongereni chadema muwe na mshikamano mpaka kieleweke.
Kwa kosa gani hasa? ACT watarudije CHADEMA kama taasisi? Kwa nini unaamini ili kufanya siasa za upinzani lazima uwe CDM?
Hakuna nafasi kwa wasaliti. Mleta mada anawapandisha chati mno.Kwa kosa gani hasa? ACT watarudije CHADEMA kama taasisi? Kwa nini unaamini ili kufanya siasa za upinzani lazima uwe CDM?
Kitila heshima kwako kaka, chama chenu kimejipambanua vizuri na tunawaombea muendelee vema. Ila napenda nikuulize, hivi ni lini nchi hii uandishi na mipango mingi mizuri imewahi kuwa tatizo. Tatizo la nchi ni utekelezaji wa mipango hiyo. Tatizo hili kwa kiasi kikubwa linaonekana kujikita hata kwenye chama chenu chenye mtazamo mbadala. Ukijaribu kuangalia wengi wa wanachama wenu wanaimba misingi yenu kumi mdomono, lakini utekelezaji ni kama wanajisemea cdm watatutambua. Ni vyema mkawafunda wanachama wenu siasa za majitaka zitawapunguzia imani mnayotaka kuijenga kwa umma. Hamtakuwa na tofauti na wale wanaosema tumetengeneza katiba bora eti tu kisa imewaudhi wapinzani. Kwa elimu na uelewa wako jitahidi kurekebisha pungufu hilo vinginevyo itakuwa kama signature ya mwajf mmoja isemayo" sisi miafrika ndivyo tulivyo"
Hakuna nafasi kwa wasaliti. Mleta mada anawapandisha chati mno.
Ahsante. Lakini ni vizuri ukawa muwazi zaidi ni kivipi wanachama wetu wanajisemea kwamba CDM watatutambua? Kama taasisi tuna itikadi, falsafa na misingi iliyo wazi kabisa na viongozi wetu wanatembea nayo hiyo. Vijana wetu wanafundishwa siasa za kujenga hoja kwa sababu hatuamini kabisa kwamba siasa ni mchezo mchafu. Kama chama kinachofuata falsafa ya unyerere tunakubaliana na kuzingatia siasa safi kama moja ya visababishi vya maendeleo. Tuache hisia.
Kwa kosa gani hasa? ACT watarudije CHADEMA kama taasisi? Kwa nini unaamini ili kufanya siasa za upinzani lazima uwe CDM?
Kwa kosa gani hasa? ACT watarudije CHADEMA kama taasisi? Kwa nini unaamini ili kufanya siasa za upinzani lazima uwe CDM?
Mkuu hii ni nchi inayofuata mfumo wa vyama vingi. Mtanzania yeyote ana haki ya kuhama Chama au kuanzisha chama cha siasa kwa utaratibu uliowekwa na sheria za nchi. Haya mambo ya kusema waombe msamaha ili warudi CCM au waende CCM wanakopewa pesa( kwa mujibu wako) ni kama kuingilia uhuru wao. Mtu akiitwa Msaliti na ukamfukuza then unamuambia arudi kukuomba msamaha hapo sasa wewe uliyemfukuza inaonekana hujiamini kwa hatua ulizochukua... na sifikiri CDM kama Taaasisi wana mawazo kama yako!!. Waacheni wafanye wanachoona kinawafaa ili mradi hawavunji sheria za nchi.