Hasa haaa haaa haya nawe nimekupa likeKula "Like"
Haha..nimekumbuka ulivyowasifiaga wanaume wa upande wa pili...vumilia tu bestNimegundua kuwa ni vizuri ukiwa na mpenzi wa imani yako.
Yamenikuta!!! Mwezi mmoja nauona kama miaka 100.
Acha kujidanganya tafuta wa imani yako ukoNawe pia unaweza kufunga kwenda naye sawa.
Katika mahusiano ni vizuri upate mtu anaekupenda kweli, atakae kuheshimu na kujua thamani yako. haya mengine mnaweza panga ila sio busara kuacha upendo wa kweli kwa utofauti wa dini
hahahahAcha kujidanganya tafuta wa imani yako uko
We cheka tuhahahah
Nitafanyaje sasaWe cheka tu
Suala la mapenzi nimewaachia wenyeweAcha kujidanganya tafuta wa imani yako uko
Haha..haujambo lakini?Nitafanyaje sasa
Mbona umekata tamaa mapema ivyo?Suala la mapenzi nimewaachia wenyewe
Nipo poa kabisa vipi hali yakoHaha..haujambo lakini?
Mimi niko poa tuNipo poa kabisa vipi hali yako
PoyeeeNimegundua kuwa ni vizuri ukiwa na mpenzi wa imani yako.
Yamenikuta!!! Mwezi mmoja nauona kama miaka 100.
Ngoja nipambaneMbona umekata tamaa mapema ivyo?
OkayMimi niko poa tu
Nimegundua kuwa ni vizuri ukiwa na mpenzi wa imani yako.
Yamenikuta!!! Mwezi mmoja nauona kama miaka 100.
Nimegundua kuwa ni vizuri ukiwa na mpenzi wa imani yako.
Yamenikuta!!! Mwezi mmoja nauona kama miaka 100.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Haha..nimekumbuka ulivyowasifiaga wanaume wa upande wa pili...vumilia tu best
Kweli kabisa mkuuNi kweli kabisa
Ila ndo ivyo dunia hii ujui itakupatia yupi unaweza ukajikuta unakuja kugundua umeshachelewa