- Thread starter
- #21
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Hahaha pole, mwezi mzma sio poa ila mpe nafasi afanye mambo mengine, the same to you,
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Hahaha pole, mwezi mzma sio poa ila mpe nafasi afanye mambo mengine, the same to you,
Boda boda kaingia mitini?Nimegundua kuwa ni vizuri ukiwa na mpenzi wa imani yako.
Yamenikuta!!! Mwezi mmoja nauona kama miaka 100.
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaBoda boda kaingia mitini?
Ulifanyaje kupata window 7 genuine? Naona pm yako umefunga. Nipe trick km hautajaliSio lazima wote muote ndoto usiku wa manane wengine huota asubuhi kumekucha, lakini zote ni ndoto tu.
Naona boda boda kafanya yake.hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa
hahahahah, unanichekesha kwa sauti bwana. hahahahahahaahahahNaona boda boda kafanya yake.
Wimbo wangu kwako.
Irene Sanga-Hilo ndilo chaguo lako
Mkae chini myajenge. Utaacha wangapi?
Hivi kweli leo ni "chungu cha pili" afadhali.Vumilia tu, bado siku 28
Ukizoea utaona kawaida
mmmmmhKinachoumiza n pale upate mwenza asiejiamini japo wa iman tofaut lakini hajiamini hata kww maamuz mlochukua inakera unaendelea tu na maisha yako
Kikubwa ni upendo wa kweli, mambo mengine unavumiliaHuo n ukweli mchungu bora uwe na wa imani yako kuliko kuwa na mwenza wa imani tofaut
hakika.Kikubwa ni upendo wa kweli, mambo mengine unavumilia
Nawe pia unaweza kufunga kwenda naye sawa.Hivi kweli leo ni "chungu cha pili" afadhali.
Ndugu yangu yapo ya kuvumilia s kila kitu utavumilia pia et kisa unampenda inafikia hatua kwa yanayokufika unasema imetoshaKikubwa ni upendo wa kweli, mambo mengine unavumilia
Never ever regret something that once made you happy. Be grateful for what happened, take the lessons you learned with you, and use it to make better decisions in the near future.mmmmmh