- Thread starter
- #41
hahahha, ahsante tehe tehe tehePole sana
hahahha, ahsante tehe tehe tehePole sana
Precisely mdadaNever ever regret something that once made you happy. Be grateful for what happened, take the lessons you learned with you, and use it to make better decisions in the near future.
Not everyone will stay in your life so appreciate the people who are with you while you still can.
Hakuna namna mtafute tu yule mwendesha boda boda shost wangu la sivyo kesi ya kubaka huyo inakuja😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
haswaaaaaaaaaaaaaaaaNdugu yangu yapo ya kuvumilia s kila kitu utavumilia pia et kisa unampenda inafikia hatua kwa yanayokufika unasema imetosha
Hata bodaboda na yeye pia ni upande huo. tehe tehe tehe teheHakuna namna mtafute tu yule mwendesha boda boda shost wangu la sivyo kesi ya kubaka huyo inakuja
Ahsante kwa ushauri wako wenye afya.Nawe pia unaweza kufunga kwenda naye sawa.
Katika mahusiano ni vizuri upate mtu anaekupenda kweli, atakae kuheshimu na kujua thamani yako. haya mengine mnaweza panga ila sio busara kuacha upendo wa kweli kwa utofauti wa dini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Basi acha nikupe pole Ila mwezi kidogo tu mvumilie ukizidiwa zama jlw upoteze mawazo wenzako tunavumilia mieziHata bodaboda na yeye pia ni upande huo. tehe tehe tehe tehe
Nimependa vyenye unachekahahahha, ahsante tehe tehe tehe
Pole sana......Nimegundua kuwa ni vizuri ukiwa na mpenzi wa imani yako.
Yamenikuta!!! Mwezi mmoja nauona kama miaka 100.
hahahahaaahah, ngoja waje wenye dini yao watakujibukwani ile kitu haina futari nayo?, m nahc mda wa kufuturu unafuturu vyote, kwaio unataka uniambie mwez wa 2-3 mwakan idadi ya wazazi itapungua,
Ahsante mkuu Mathias Raymond NyakapalaPole sana......
mmh! kweli?😉Nimependa vyenye unacheka
We hutaki kuhamia huko ili muende sawa?hahahahaaahah, ngoja waje wenye dini yao watakujibu
hahaahahha, ngoja ni m folo fimboyaasali ili akitupia kitu niwahi siti hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Basi acha nikupe pole Ila mwezi kidogo tu mvumilie ukizidiwa zama jlw upoteze mawazo wenzako tunavumilia miezi
Hapana, mimi na sadiki kwa kanisa moja takatiu katoliki la mitume...We hutaki kuhamia huko ili muende sawa?
Ndyo kwelimmh! kweli?😉
Amina.Hapana, mimi na sadiki kwa kanisa moja takatiu katoliki la mitume...