Ushauri:Kuoa mwanamke mwenye mtoto

Ushauri:Kuoa mwanamke mwenye mtoto

Kiukweli hi haiko sawa,Sasa mpaka kupata mimba kulikua hakuna upendo????

Kwenda kuona mtu wa hivi Ni matatizo mapenzi hayana ngumi na kupigana miiko na makofi,hakuna hamsha hamsha kabisa

Raha ya mapenz umzabe mtu mtaka jicho livilie damu ananuna week nzima ila wajibu wake anatimiza Kama kawa.

Sasa huyu wa mtoto hata mkizinguana anajiona wahatia.

Hainogiiiiiiiiiiiiiii briiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom