Ushauri: Kuna dada kaniambia ananipenda. Je, nimkubalie?

You are very confused young man. Somehow you just don't know where your True North lies.

Please seek help so that you can come to terms with your sexuality. From my analysis of you, you are a disturbed soul. Your affairs of the heart and of the mind are a little confused.

Acha nijaribu kubadili lugha huenda ukanielewa.

Tafuta mda, ukamuone counselor. Ongea nae kiundani about utoto wako na malezi yako..... ataweza kujua tatizo lako liko wapi.

Kwanini nasema hivi, thread zako zinaonyesha haupo ok. Jana ulitamani ubebe mimba na uzae. That alone is a red flag.

Hope you find peace in your heart and man and life in general young man.
Excellent advice
 
Sijui nimkubali !!
- ina maana hapo ulipo huna mahusiano serious ya kuelekea kwenys ndoa au huna mke kabisa
- mmekutana bar, anakutamkia ndani ya dakika chache mlizokaa hata hushtuki
- anakwambia mbona wanywa kinywaji cha kike si uagize bia, ina maana ni mnywaji sana nawe unataka kuingia ktk mahusiano nae.
matatizo mengine hujitakia wenyewe, mahusiano yasiyo rasmi tuachane nayo, ndo chanzo cha kujitia umaskini tu
 
Habari za mchana wana MMU, leo nareta bandiko humu ndani kwa ajili ya ushauri. jana mida ya mchana nilitoka nikaenda bar fulani maeneo ya songea nikaagiza pepsi taratibu nikawa nashushia na nyama choma,
baadae kidogo akaingi mwanadada mashallah mtoto si haba uzuri kajaliwa. moja kwa moja hadi nilipo akajongea, 'mambo kaka' nikajibu 'poa' akaniuliza 'hiki kiti kina mtu' hapana, akaketi na kuagiza bia akaanza kuniongeresha mbona unatumia kinywaji cha kike kwann usiagize bia. nikajibu najisikia vibaya ndo maana sikuagiza bia, (kikapita kimya kirefu) nikamwaga minaondo tutaonana akajibu 'samahani kaka naomba ukae kunakitu nataka nikwambie' ikanibidi nitii nikamwambi nakupa dk2 uongee shida yako. akaanz ooh! unajua kaka samahan kama ntakuudhi mimi nimetokea kukupenda naomba uwe wangu please, da! nikajiuliza hivi mwanamke mzuri kama huyu kakosa bwana. nikamwambia dada nipe siku yaleo nikufikilie kesho ntakupa jibu, leo kanipigia anataka tuonane yaani ninamawazo sijui nimkubalie au nikatae.
ushauri wenu wakuu
Baada ya KuReta hekaya,NashauLi MkubaRie tu kwani HasaLa kwa nani?

Cc: Bi Chau
 
Cc Smart911
tapatalk_1525530028088.jpeg
 
Habari za mchana wana MMU,

Leo naleta bandiko humu ndani kwa ajili ya ushauri. Jana mida ya mchana nilitoka nikaenda bar fulani maeneo ya Songea nikaagiza pepsi taratibu nikawa nashushia na nyama choma,
baadae kidogo akaingia mwanadada mashallah mtoto si haba uzuri kajaliwa.

Moja kwa moja hadi nilipo akajongea, 'mambo kaka' nikajibu 'poa' akaniuliza 'hiki kiti kina mtu' hapana, akaketi na kuagiza bia akaanza kuniongeresha mbona unatumia kinywaji cha kike kwanini usiagize bia.

Nikajibu najisikia vibaya ndo maana sikuagiza bia, (kikapita kimya kirefu) nikamwaga minaondo tutaonana akajibu samahani kaka naomba ukae kunakitu nataka nikwambie' ikanibidi nitii nikamwambi nakupa dk2 uongee shida yako.

Akaanza ooh! Unajua kaka samahani kama nitakuudhi mimi nimetokea kukupenda naomba uwe wangu please, da! Nikajiuliza hivi mwanamke mzuri kama huyu kakosa bwana.

Nikamwambia dada nipe siku ya leo nikufikirie kesho nitakupa jibu, leo kanipigia anataka tuonane yaani ninamawazo sijui nimkubalie au nikatae.

Ushauri wenu wakuu
Mzee baba ulikua "Yapenda mtini "nini
 
Angejua kama nawewe ulikuwa upo kwenye harakati za kutafuta danga la kukutia mimba wala asingewashwawashwa kukutongoza
 
zamani ukiambiwa nakupenda unajibu nakupenda pia, siku hizi, qudadaadeki mpaka ukafungue dossier kwanza, wanawake wenyewe hivi wamekuwa maninja hapo huwezi jua nia yake, pengine anashida ya manii, akaroge, ama anataka makende huko malawi dili, au ngozi, au kweli kamaanisha...eti bro nimenaind huo mzigo sa unasemaje? ukiona unatafutwa hivyo jombaa ujue unanyota ya kuku wa kisasa muda si mrefu unaenda kuliwa...kwa huko songea sijui ila ingekuwa ni mombasa ningekushauri hata mtaa ilipo hiyo bar uhame
 
You are very confused young man. Somehow you just don't know where your True North lies.

Please seek help so that you can come to terms with your sexuality. From my analysis of you, you are a disturbed soul. Your affairs of the heart and of the mind are a little confused.

Acha nijaribu kubadili lugha huenda ukanielewa.

Tafuta mda, ukamuone counselor. Ongea nae kiundani about utoto wako na malezi yako..... ataweza kujua tatizo lako liko wapi.

Kwanini nasema hivi, thread zako zinaonyesha haupo ok. Jana ulitamani ubebe mimba na uzae. That alone is a red flag.

Hope you find peace in your heart and man and life in general young man.
Huyu kijana ni mwakilishi wa wavulana wa mikoani, yuko songea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom