Ushauri: Kuna dada kaniambia ananipenda. Je, nimkubalie?

mwambie akapime ngoma kwanza. na hao unakuta hana sehemu ya kuishi, na kingine mwanamke hawezi kuwa wa kujiamini kiasi kwamba ana kwambi unakunywa kinywaji cha kike na kingine angekuwa na heshima asinge agiza pombe kwanza, tupa kule
Yap nimeona red flag kwake. Wakapime kwanza alaf amchunguze huyo mwanamke coz anaonekana ni mzoef wa mambo flani.
 
Habari za mchana wana MMU, leo nareta bandiko humu ndani kwa ajili ya ushauri. jana mida ya mchana nilitoka nikaenda bar fulani maeneo ya songea nikaagiza pepsi taratibu nikawa nashushia na nyama choma,
baadae kidogo akaingi mwanadada mashallah mtoto si haba uzuri kajaliwa. moja kwa moja hadi nilipo akajongea, 'mambo kaka' nikajibu 'poa' akaniuliza 'hiki kiti kina mtu' hapana, akaketi na kuagiza bia akaanza kuniongeresha mbona unatumia kinywaji cha kike kwann usiagize bia. nikajibu najisikia vibaya ndo maana sikuagiza bia, (kikapita kimya kirefu) nikamwaga minaondo tutaonana akajibu 'samahani kaka naomba ukae kunakitu nataka nikwambie' ikanibidi nitii nikamwambi nakupa dk2 uongee shida yako. akaanz ooh! unajua kaka samahan kama ntakuudhi mimi nimetokea kukupenda naomba uwe wangu please, da! nikajiuliza hivi mwanamke mzuri kama huyu kakosa bwana. nikamwambia dada nipe siku yaleo nikufikilie kesho ntakupa jibu, leo kanipigia anataka tuonane yaani ninamawazo sijui nimkubalie au nikatae.
ushauri wenu wakuu
Mkatalie, asije kukuharibia ndoto zako za kuwa mwanaume wa kwanza Africa kubeba mimba.
 
Mwambie aache unanga wewe mwenyewe unatafuta wa kukupa mimba uvunje rekodi asikuharibie plan zako
 
Ushabebeshwa mimba. Wazazi wako wana hasara. Hizo nguvu babako alizotumia kukuleta duniani zimeenda bure. Bora siku ile isingekuwepo.
 
Mkuu uliyeleta bandiko nitajie jina la bar uliyoingia hapo Songea nikushauri.
Maana bar zote za mjini Songea nazifahamu na wasifu wake naufahamu.
 
Angejua anakutongoza mtu ambaye huna kichwa cha mboo na unatamani kushika mimba basi asingepoteza muda wake.
 
You are very confused young man. Somehow you just don't know where your True North lies.

Please seek help so that you can come to terms with your sexuality. From my analysis of you, you are a disturbed soul. Your affairs of the heart and of the mind are a little confused.

Acha nijaribu kubadili lugha huenda ukanielewa.

Tafuta mda, ukamuone counselor. Ongea nae kiundani about utoto wako na malezi yako..... ataweza kujua tatizo lako liko wapi.

Kwanini nasema hivi, thread zako zinaonyesha haupo ok. Jana ulitamani ubebe mimba na uzae. That alone is a red flag.

Hope you find peace in your heart and man and life in general young man.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom