mtamanyali
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,161
- 613
Wadau poleni na majukumu,
Naombeni tushauriane kuhusu namna biashara ya vipindi vya radio na tv inavyoweza kumlipa mtu. Binafsi napenda sana kuwekeza katika media yaani naweza buni tv au radio program yangu then nikaenda kwenye media kuihost sasa sijajua kwa kina hasa naweza kufaidika kwa namna gani? Na pia ningependa kufahamu program ideas mbalimbali za radio na Tv.
Nawakaribisha.