Heri ya mwaka mpya wana JF tumeanzisha NGO yetu ya kilimo hivi karibuni na tumetengeneza tovuti yetu lkn kabla ya kumlipa aliyetutengenezea tovuti hiyo naomba wana JF wenzangu mtushauri kama kuna cha kuongeza kupunguza au kurekebisha kwenye tovuti hiyo.
Tafadhali ipitie hapa www.bondeni.or.tz utoe maoni yako.
Natanguliza Shukran za Dhati.
Chikundi.
Tafadhali ipitie hapa www.bondeni.or.tz utoe maoni yako.
Natanguliza Shukran za Dhati.
Chikundi.