Ushauri kuhusu ramani na ujenzi wa nyumba

KIWONDEF

Member
May 13, 2013
59
23
Tunatoa ushauri wa bure hususani kwenye masuala ya ujenzi naubunifu wa ramani za nyumba aina mbalimbali,haishauliwi sana kwa wateja kununuaramani barabarani au kutumia uzoefu kwenye masuala ya ujenzi.Fika kwetu auoffice yeyote iliyo sajiliwa na kupewa kibali kwenye kufanya shughuli hii wakushauli kiutalaam zaidi,kabla hujajenga ni muhimu kujua angalau kiasi kuhusu hicho unacho kusudiakukijenga.Kumbuka ramani ukiikosea toka mwanzo ni vigumu kufurahia makazi yako mapya,na ramani si tu itoke kwa mtaalam ila pia wew kama mteja utashauliwa na kushauliana na mtalalamu wako,ramani pia haihusishi mchoro mmoja tu yaani floor plan,ni zaidi ya michoro tisa hadi kumi na tano na zaidi kulinga mteja hupewa kama viambatanisho_Ogopa kufanya kazi balabalani au pasipo mihuri ya wanataaluma
Tunapatikana maeneo ya survey karibu na mlimani city Dar,waweza fika ofisinikwetu au fanya mawasiliano nasi kwa anuani zilizopo hapo chini.Hapo chini ni sample ya ramani ambazo tumechora kwa wateja

francofmwakiwonde@gmail.com
0713450840
Thanks!!!!!!!!!!!!
 

Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    549.1 KB · Views: 128
  • 3.jpg
    3.jpg
    589.9 KB · Views: 135
  • 2.jpg
    2.jpg
    864.1 KB · Views: 131
  • 7.jpg
    7.jpg
    769.9 KB · Views: 116
  • 1.jpg
    1.jpg
    1.1 MB · Views: 113
ramani sija zigoogle kaka haya mambo yanafanyika,balabalani ni issue za uhalaka tu wa ku type ila ujumbe nadhani unaeleweka
 
Back
Top Bottom