Naunga mkono hoja, sambamba na holo niongezee kwa kuomba mamlaka husika ziongeze limit speed kutola 80 hadi 90 ili kutoa mwanya kwa vyombo hivyo kuwa na muda mwingi wa kusimama njianiblwa mfano kula au kuchimba dawa kwa kiwa inaonekana wenye vyombo hivi hawapendi kupoteza muda wa kusimamasimama njiani wakihofia kichelewa ratiba ya safari, hivyo kitupa wakati mgumu wasafiri mfano mtu umebanwa na haja ndogo unaambiwa subiri tufike hapo mbele sasa utakaa mpaka kibovu kikarihie kupasuka hivyo ningeomba kwa kupewa fursa hiyo sasa wasiwe na haraka yaani kama basi linaenda tabora watubwasimame wanywe chai mchana wale chakula kama kawaida wachimbe dawa mpaka kufika safari yao.Kama ilivyo agizwa na mamlaka kwamba kuanzia sasa mabasi yasizuiwe kutembea usiku, binfsi naunga mkono hoja. Ushauri wangu ni kwamba ingefaa sasa Yale mbasi yanayo anza safari pamoja yange Anza safari kwa nyakati tofauti, mathalani badala ya mabasi yanayo toka Mwanza kuondoka yote saa 12 asb yangetofautina muda.
Kuhusu mabasi ya kigoma na bukoba badala ya kutakiwa kulala njiani yakitoka Dar badala yake muda unge badilishwa ili Yale maeneo waliyotakiwa kupumzika kwa kusubiri kupambazuke wafike kukiwa kumepambazuka.
Hii itasaidia kupunguza gharama na usumbufu kwa abiria wanoka mbali stand pia kufanya matumizi mzuri ya muda.
Naunga mkono hoja, sambamba na holo niongezee kwa kuomba mamlaka husika ziongeze limit speed kutola 80 hadi 90 ili kutoa mwanya kwa vyombo hivyo kuwa na muda mwingi wa kusimama njianiblwa mfano kula au kuchimba dawa kwa kiwa inaonekana wenye vyombo hivi hawapendi kupoteza muda wa kusimamasimama njiani wakihofia kichelewa ratiba ya safari, hivyo kitupa wakati mgumu wasafiri mfano mtu umebanwa na haja ndogo unaambiwa subiri tufike hapo mbele sasa utakaa mpaka kibovu kikarihie kupasuka hivyo ningeomba kwa kupewa fursa hiyo sasa wasiwe na haraka yaani kama basi linaenda tabora watubwasimame wanywe chai mchana wale chakula kama kawaida wachimbe dawa mpaka kufika safari yao.
Nilidhani unataka abiria walipiwe chakula na malazi wakilala njiani. Mambo gani ya kulala kwenye basi bila chakula wala choo!Kama ilivyo agizwa na mamlaka kwamba kuanzia sasa mabasi yasizuiwe kutembea usiku, binfsi naunga mkono hoja. Ushauri wangu ni kwamba ingefaa sasa Yale mbasi yanayo anza safari pamoja yange Anza safari kwa nyakati tofauti, mathalani badala ya mabasi yanayo toka Mwanza kuondoka yote saa 12 asb yangetofautina muda.
Kuhusu mabasi ya kigoma na bukoba badala ya kutakiwa kulala njiani yakitoka Dar badala yake muda unge badilishwa ili Yale maeneo waliyotakiwa kupumzika kwa kusubiri kupambazuke wafike kukiwa kumepambazuka.
Hii itasaidia kupunguza gharama na usumbufu kwa abiria wanoka mbali stand pia kufanya matumizi mzuri ya muda.
Imagine unashuka Dar saa7 na nusu usiku ni hatari sana
Hatari gani?Imagine unashuka Dar saa7 na nusu usiku ni hatari sana
Kama ilivyo agizwa na mamlaka kwamba kuanzia sasa mabasi yasizuiwe kutembea usiku, binfsi naunga mkono hoja. Ushauri wangu ni kwamba ingefaa sasa Yale mbasi yanayo anza safari pamoja yange Anza safari kwa nyakati tofauti, mathalani badala ya mabasi yanayo toka Mwanza kuondoka yote saa 12 asb yangetofautina muda.