omba hizi:Baada ya matokeo kutoka kwa kwel cielewi hata niende kozi ipi sababu yametoka nje ya malengo kabsaa! ushauli tafadhal koz gani yenye sokn kwenye ajira itakayonifaa kutokana na ufaulu wangu wa E-Chem, D-georg & bios D
Vp geography and enviromental study ni nzur soko liko vp naweza kupata? Nimepanga niombe chuo cha SUZA naweza kupata kwa vigezo vya problem nataka chuo chengne beside SUZA naweza kupata? Wanataka geo and other subjectunakua unafundisha language uliyosoma. pia ukiwa mjanja ukifanya masters fasta unawez kuwa lecture vyuoni na mshaara wake ni mzuri kwa kwel hasa private. ila upige GPA kubwa basi.
wapo malecture kibao wamesoma langage wanajimwaga kinoma na kuna watu wanajua kusaka upenyo wengine ni wakalimani ila kupata hii kazi inabidi uwe mtaftaji
mitatu im sureBA Law Enforcement inachukua miaka mingapi kwa anayefahamu, please. Na jee lazima niwe NGUNGURI ili niwezekuchaguliwa?
Cjajiunga na chuo kikuu ila nnavoelewa NIT ni jina la chuo na sio courseVipi kuhusu NIT inahusu nini, inapatkana wap, na soko lake kwenye ajila liko vp?
irrigation engnrng-suaNaomba msaada nimesoma PGM nina DCD respectively nataka engineering nisome ipi na wapi
uandishi wa habari bana mimi sijui tenda zao na maslahi yao ila ukiwa superstar ukiweza kuteka watu kama akina millard ayo na jeri muro basi wewe kila kituo cha tv au redio utaitwa ila ndugu kama utakua mtu wa kawaida tuu sijui.Pls naomba course nyengne km unazijua tufnye kwa geo vs eng hata km haina loan priority cjajipanga nakusomesha vp wale wanaosomea zile za journalism wanakua na kazi tofauti tofauti au ndo wale waandishi wa habar na wanaosoma habar?
ulikua unataka uwe nani?PCB = DDC = DIV II Please.
aaa...mimi ni mshauri tu, labda mimi msaada wa masters! ila sio mwaka huuHahaha mkuu sawa ntajikinga nsiwe tapeli na wewe pia kama unahitaji msaada just nitafute ntakusaidia BUREEE
mambo ya environment sina ujuzi nayo. wadau watakusaidian humuVp geography and enviromental study ni nzur soko liko vp naweza kupata? Nimepanga niombe chuo cha SUZA naweza kupata kwa vigezo vya problem nataka chuo chengne beside SUZA naweza kupata? Wanataka geo and other subject
Phermacy_st john,MD st Francis,nursing_bugando.PCB = DDC = DIV II Please.
Medical Doctorulikua unataka uwe nani?
vr confusing mkuurudia kusoma tena ndugu yangu
Pharmacy not interested at allMedical Doctor
Hapo kwenye animal science, agriculture general pamoja na agronomy vp ajira zake znapatkana?omba hizi:
1. animal science-sua
2. agriculture general -sua
3. agronomy-sua
4. education-udzm
5. education -duse
mitatu im sure
lakin watu wanagraduate tena wengne bila sup. swala ni kukomaa tu!! no sweat, no sweet!!Mkuu niukweli Sua nipagumu na Hugo sio wa kwanza kusema hivo
kurudia kusoma A level tena ina maana TWO haina soko tena kwa medicine ni pharmacy ndiyo yafaa?vr confusing mkuu
omba st francis morogoro au archibichop james na ile nyingine sjui ni tabora ila sina uhakika kama wanatoa MB.Medical Doctor
watu wana division one za nguvu huko we wajitapa na two?? acha kujiskia jione wa kawaida kwa hiyo two yako muhas, udsm, udom , hupati labda kcmc na bugando huko unaweza patakurudia kusoma A level tena ina maana TWO haina soko tena kwa medicine ni pharmacy ndiyo yafaa?