Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

Vp kwa upande wa IT na forest ajira zake?
ndugu ukisoma kuhusu ajira jiwekee asilimia 1% we jiandae kujiajiri,
kama una wakukupa sapot anaweza kukuanganisha na ajira ila hivi hivi ni ngumu,
ila sijui bana maana naamini kila mtu ameandaliwa baraka yake na Mwenyezi Mungu.
unaweza kuwa bwana misitu ila ajira huko siongelei.
 
mkuu uko serious kweli au wamanisha veterinary ni dude zaid ya MD?
labda ajaribu anaweza pata ila wasiwasi wangu ni ushindani maana kwa point zake chache sijui kama atapumua maana anaenda kushindana na pcb hapo
Asante kwa masahihisho,ya muache ajaribu ila tu awike second selection.
 
Mkuu, niombe radhi kwa kunionea. E =1, C =3. Point 4 hizo. Rejea tena post yangu, halafu unipe maoni yako.
sory labda nilichanganya.
jaribu kuomba law arts huwa wanafaulu vizur sana so kwa udsm sikushauri.
we cheki vyuo vya private huko hakuna ushindani mkubwa.
cheki sauti, tumaii iringa, makumira, ruco n.k hata udom utapata maana kile chuo ni kikubwa sana
 
yaan ushauri ume exhaust wote kuhusu huyu mtoto. hakuna nyongeza hapo. yeye atekeleze tu
ni bora kuongea ukweli mchungu mkuu kuliko kudanganya ili mambo yake yamnyookee mapema. aweze kujiandaa na mishe nyingine mapema
 
Lakini nikijaribu bahati yng sio mbaya? Ukilinganisha na ufaulu wa mwaka huu especially zanzibar watu 101 schule yetu tunaenda 44 pia ukilinganisha na admission ya wanafunzi wanaopokea naweza kujaribu? Na course ipi nyengine ukiacha naweza kupata ukiacha education
 
Duh! ndo tunakatishana tamaa kabsaaa! koz gani nyngne itanfaa na yenye soko kwenye ajira?
 
mi bado sjaelewa vzr tafadhari
 
wala usiwe na shaka jaribu maana naamini kila mtu ana bahati yake. Mungu yupo atakupigania ila kwa uelewa wangu uwezekano wa wewe kupata ni mdogo sana ndo maana nakuandaa mapema ucheki na plani b.
kama unapenda language kuna vyuo kibao vinatoa hiyo kozi. pia ukiomba sheria vyuo ka a saut, udom, tumaini iringa, makumira, theoflo kisanji, ruco huku nina imani kubwa utapata vizuri tuu.
vyuo vya zanzibaree hayee uko sijui sijaangalia ila karibu saba bara.
 
Je nikisoma lg nikimaliza nikifaulu vzr namaliza km nani na nafnya kazi sehem gan pia soko lipoje?
 
labda aombe civil engineering saut, halaf st joseph ya dar ila aombe Mungu maana ushindani upi ila sauti sidhan hapo anaweza pata. pia kama anapenda education aende udom
 
Medical labalatory inapatkanga na kwenye vyuo vya serikari? na nieleze kdogo kuhusu IT upatkanaj wake, indadili na nini na soko lake katka ajira!
lakin usithbutu kuomba laboratory science and biotechnology(BLS) ya sua. hii ni kwa manufaa yako ya mtaani baada ya chuo. inasumbua kwenye ajira sasaivi
 
Je nikisoma lg nikimaliza nikifaulu vzr namaliza km nani na nafnya kazi sehem gan pia soko lipoje?
unakua unafundisha language uliyosoma. pia ukiwa mjanja ukifanya masters fasta unawez kuwa lecture vyuoni na mshaara wake ni mzuri kwa kwel hasa private. ila upige GPA kubwa basi.
wapo malecture kibao wamesoma langage wanajimwaga kinoma na kuna watu wanajua kusaka upenyo wengine ni wakalimani ila kupata hii kazi inabidi uwe mtaftaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…