Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

phy d chem c bios c vp md pale kairuki atapata?
 
Wakuu Mimi nauliza eti ukishaprint machaguo unaruhusiwa kufanya marekebisho mbona kama ile printed ya machaguo pale inakataa na ukienda
Kwenye profile IPO sehemu ya change program
Msaada please...
 
nina 2 ya 10 nmesoma CBG na nmepata(C,C na D ya geog) nishauli nisomee course gan ambayo ipo marketable kwa saiv ukiacha nursng,phamacy,BVM na medcal laboratory
 
Nna div 2 ya 12 Hgl nna CDE nimeapply hivi je naweza pata nafasi hapo au nibadili
 
Wakuu Mimi nauliza eti ukishaprint machaguo unaruhusiwa kufanya marekebisho mbona kama ile printed ya machaguo pale inakataa na ukienda
Kwenye profile IPO sehemu ya change program
Msaada please...
Unaweza kubadil machaguo ila ukishabadil tu. Ile karatas uliyo print haitumik tena coz ukisoma pale juu ya karatas wameeleza kila kitu
 
Unaweza kubadil machaguo ila ukishabadil tu. Ile karatas uliyo print haitumik tena coz ukisoma pale juu ya karatas wameeleza kila kitu
Pia mkuu kwa mfano ukabadili
Halafu ukaprint Mara ya pili
Itaonekana kama ndo unaaply upya????
Na je kuna effect usipoprint kwa Mara ingine?
Samahan naomba sana msaada kama unauzoefu!!!
 
Pia mkuu kwa mfano ukabadili
Halafu ukaprint Mara ya pili
Itaonekana kama ndo unaaply upya????
Na je kuna effect usipoprint kwa Mara ingine?
Samahan naomba sana msaada kama unauzoefu!!!
Unaweza uka print kadri uwezevyo kulingana na utakavyobadilisha machaguo yako.
Na hakuna negative impact yoyote itakayojitokeza kwako ama kwa wahusika watakao kudahil.
Na unaweza ukaprint zaid ya mara moja mpaka apo watakapo funga udahil apo tareh 31/08/2016
 
Umenena vyema mkuu
 
Unaweza kubadil machaguo ila ukishabadil tu. Ile karatas uliyo print haitumik tena coz ukisoma pale juu ya karatas wameeleza kila kitu
Hizi ishu za kuprint zinakuaje??mbona sizielewi...kwani ukishaeka machaguo kule kwenye website zao unaprint kivip??
 
mimi nimepata DIVISION TWO YA POINT 10
ENG D
HISTORY C
KISWAHIL C
GS E
HKL
JE NITAPATA UDSM KWA KOZI YA BACHELOR OF ARTS WITH EDUCATION?
NAOMBA MNISAIDIE
Unaweza pata ila inategemea na ushindan kwa walioomba pia kama una dv 1 o level inasaidia
 
Unaweza pata ila inategemea na ushindan kwa walioomba pia kama una dv 1 o level inasaidia
NIMEOMBA
NDO TUNASIKILIZIA
HIVI KUNA UWEZEKANO WA POINTS ZANGU NIKAKOSA CHUO ROUND YA KWANZA NA JE HUWA MAJINA YA ROUND YA KWANZA YANATOKA LINI
 
NIMEOMBA
NDO TUNASIKILIZIA
HIVI KUNA UWEZEKANO WA POINTS ZANGU NIKAKOSA CHUO ROUND YA KWANZA NA JE HUWA MAJINA YA ROUND YA KWANZA YANATOKA LINI
Uwezekano wakukosa round ya kwanza haujalishi point bali competition ndo inaplay part sana so inawezekana pia hasa kwa chuo kama udsm
 
Broo... Mi ni diploma holder... Matokeo ya diploma nina first class ya 4.6...ya Accounting..... Ila form 4 nina D plane na C ya math..... Axa nimeomba BAF ya Ardhi (capasity 10)... Bcom UD (50)... Acturial UD (10).. Na Mzumbe (BAF) ... Respectively... Ila sasa applicant wa hivyo vyuo ndo wengi.. Almost 120 and above. .. My be actuarial ambayo ina applicant 15 tz.. mimi ndo nilikuwa wa 15...ila ndo hivyo sina vigezo vya kuingia hiyo courze.... Sasa i need ur suggetion.... What am i expecting?
 
kcmc ada million 4.5
 
kama wapo 22 utapata coz capacity ya kene guide book ni uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…