Mwambie asome petroleum geologyHabari mkuu..kuna dogo wangu amemaliza PCM na amepata DBB anafkiria kufanya actuarial science au geomatics vp mnazionaje hizi courses kwa soko la ajira hapa tanzania pia kwa mujibu wa results zake mtamshauri afanye course gani nyengine ambazo zina soko hapa tanzania.Natanguliza Shukrani zangu Asante
Hakuna engineering isiyolipa.Wakongwe nauliza hivi course ya science and industrial engineering management inahusika na nini,na vp kuhusu mshahara inalipa
Unaweza soma engineering na usiwe engineerHakuna engineering isiyolipa.
Tanzania ya viwanda inakuja,mwambie akasome Mechanical eng hatojuta.Habari mkuu..kuna dogo wangu amemaliza PCM na amepata DBB anafkiria kufanya actuarial science au geomatics vp mnazionaje hizi courses kwa soko la ajira hapa tanzania pia kwa mujibu wa results zake mtamshauri afanye course gani nyengine ambazo zina soko hapa tanzania.Natanguliza Shukrani zangu Asante
Unaweza soma ndio na usiwe,kila mtu ana kipaumbele chake.Mfano Mbatia alisoma engineering lakini leo ni mwanasiasa.Unaweza soma engineering na usiwe engineer
Aombe nursing st johnMdogo wangu wa kike,amepata amesoma PCB matokeo F,D,and D respectively naomba msaada asome course gani tofauti na Education
Atapata.Jaman wadau nina mdgo wang mwngne yy pia kasoma CBG ambapo ana D² za bio en chem pia C ya geo kam yule mwanzo en kashatuma maombi ambapo
1-kaeka md archbishop james
2-kaeka pharmacy st.john
3-kaeka medcal.lab bugando
4-kaeka md kairuki
5-pharmc bugando
So kaniomba ushaul na mm cjui nimwambie nn so wakuu nambieni aache hivo hivo ama afanye editing mapema na kam anafanya editing ajaze nn
Atapelekwa kairuki huyuAtapata.
Hapo Vigezo Vya Kwenda Degree AnavyoHabari kazi wapendwa, kijana wangu amepata HIST D, KISW, D NA ENG E Div 3.13 je anaweza kwenda kwenye Masomo ya Degree au aende Diploma? Asanteni
Kwa hiyo unataka iwe social worker.Nimeaply
Pspa-UDSM
Urban planning-ARDHI
Insurance&risk mgt-IFM
Social work-UDSM
LMV-Ardhi
Nina BDD ya HGL..je nitachaguliwa ipi kati ya hizo na ipi nzuri na sio nzuri na kuna uwezekano wa kutochaguliwa zote kati ya hizo??
Iyo social worker inahusu nini mkuu na ukimaliza unafanya kazi za aina gan maeneo gan?Kwa hiyo unataka iwe social worker.
!!!!!
We ni me au ke,
phy d chem c na bios c vp md kairuki anapata huyoo?Unaweza soma ndio na usiwe,kila mtu ana kipaumbele chake.Mfano Mbatia alisoma engineering lakini leo ni mwanasiasa.
phy d chem c bios c vp md pale kairuki atapata?Tanzania ya viwanda inakuja,mwambie akasome Mechanical eng hatojuta.