Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

Msaada nmesoma PCB nina EDC koz gan naweza somea na vyuo ambavyo vko vzur kwa izo kozi. msaada kwa anayejua
 
Hyo competition ni kubwa alaf EGM na PCM ndo huwa wanapewa kipaumbele mana wamesoma Adv math

Kwa nin usijaribu Land valuation au Agricultural and Natural Resources Economics and Business ya UDSM
 
Wakuu nimepata div two hv HGL=CDD
bnafc nimeazmia kuapply
1. health services management~mzumbe
2.bachelor of art with special education~udom
3.general agriculture~sua

je naweza kupata naombeni ushaur wenu
 
Wakuu nimepata div two hv HGL=CDD
bnafc nimeazmia kuapply
1. health services management~mzumbe
2.bachelor of art with special education~udom
3.general agriculture~sua

je naweza kupata naombeni ushaur wenu
Utapata hiyo namba 2.
 
Malengo yako unaweza kuyatimiza, cha kufanya kama una uwezo nenda kaombe shule za private ukaanze advance hyo PCB
 
CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'C' E/D/KIISLAMU - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'C' PHY - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'D
Division 3 ya 23
Alafu sikupangiwa popote hebu nishauri nifanye nn malengo yangu ni kuwa daktari
Broo hapo unamkatisha tamaa tu huyi dogo bure, kuna watu wamefeli form 4 wakareseat form 6 wakapata dvisn 1,, cha msing n yy akienda akapige msul wa kutosha tu atatoboa kwa one mbona
 
Mkuu Nina div three ya 13 nmesom PCB naweza som courses gan y afya
Ufaulu ni EDD respectively
 
Wakuuu naomba ushauru mie nimesoma HGK na nimepata division one ya point 8 yaan BCC he naweza chukua faculty Gan tofauti na education
 
PCM ana E za physics na Chemistry na D ya Maths naomba ushauri asome diploma ya fani ipi na iko chuo gani?
 
xawa mkuu ila hyo ya kwanza unaionaje cwezi pata kweli usinichoke kwa maswali yangu
Unaweza kupata,lakini ukishaweka tu kitu kinachoitwa education basi tegemea hiyo hiyo.Hata ukiweka last choice kuna lazima wakuchague education,kama unahitaji hiyo ya kwanza basi ondoa hiyo education.
 
Nina CED nmesoma EGM ....O LEVEL nina 1.12 ..nataka nikasome ardhi je nitapata? Na course gan nichukue nzur ...msaada tafathali
 
rudia kusoma tena ndugu yangu
Msaada pls unapojaza form ya loan F6 2016 kuna kipengele unajaza details if u have disability or not naomba kujuwa disability unayotakiwa kujaza km unayo ni ile ambayo kama vile upofu,ububu,ulemavu wa miguu mikono e.t.c au unajaza disabilty if u have any health problems like sickle cell anaemia, chronic asthma attack, allergy like skin medicine e.t.c pls naomba msaada
 
Wakuu nina chemistry-D...biology.. D geography... C cz gani ya afya inanihusu na chuo ganii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…