Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

Mimi hapa nimemaliza kidato cha sita mwaka Jana nimepata GPA Ya 2.7 nimesomaPCB Yani Nina DBB+ napenda pia kuwa daktari niombe chuo IPI?
 
Kwahiyo hiyo kozi ya Water engineering ya chuo cha majin ubungo anaweza kupata ajira kweli?
 
Kwahiyo hiyo kozi ya Water engineering ya chuo cha majin ubungo anaweza kupata ajira kweli?
Sisi mkuu hatutoi ajira humu,lakini hiyo course ipo cruster 1,pamoja na course za afya.Kwa maana hiyo kuna chance kubwa yakupata kazi lkn sio kwamba lazima upate kazi,hatujui mpaka unamaliza itakuwa na uhitaji kiasi gani ukilinganisha na sasa.
 
Mungu aponye ulimi wako tu
 

Lugha yako haikunikera, kutokua na simu au access ya internet inawezaje kuwa ndiyo sababu ya kutokujua usome nini katika hatua ya digrii ? Unataka uniaminishe kwamba ili mtu ajue kuwa anapenda kusoma ualimu, sheria, udaktari, usimamizi wa biashara, kilimo na mengineyo ni LAZIMA KWANZA awe na access ya internet ? Kwani wanaishi jangwani ? Hawawaoni hao walimu, madaktari na wengineo huko wanakoishi wakawa-inspire ?
Na kama unachokizungumza ni kweli, wanawezaje kuingia JF bila kuwa na access ya internet ?
Kitu ambacho pengine hatujaelewana ni kwamba mimi sikatai mtu kuomba ushauri kuhusu kozi ya kusoma, ila ninapata wasiwasi pale mtu anapokuja kuweka matokeo yake hapa na kuanza kusubiri ushauri, haonyeshi kuwa alikua na dira yoyote wala malengo juu ya mstakabali wake mwenyewe. Naona ingeleta tija zaidi mtu anaposema kwa matokeo haya ninaweza kusoma SHERIA mathalan, kwa sababu katika maisha nilikua natamani au nina ndoto ya kua mwanasheria na aulize pengine kuna fursa zipi katika hiyo nyanja na mengine kedekede yanayohusu hilo suala lake.

Nimetoa maoni yangu hapa umenijia juu ukinambia "WEWE NI DIPLOMA HALAFU UNAJIFANYA UNAJUA KILA KITU", labda ilihitaji niwe na digrii ya kwanza, ya pili au ya tatu ndio niweze kuzungumza haya.
By the way tuwaache wahitimu wa kidato cha sita wauishi huu msemo "ASIYEJUA AENDAKO, NJIA YOYOTE HUMFIKISHA" kwa sababu wewe umetaka.

Ni mtazamo wangu tu, samahani kwa waraka.
 
Nimeipenda
 
Mimi hapa nimemaliza kidato cha sita mwaka Jana nimepata GPA Ya 2.7 nimesomaPCB Yani Nina DBB+ napenda pia kuwa daktari niombe chuo IPI?
omba udom, bugando, st fransis, archibosho james imtu kairuki
 
ok nmekuelewa ndugu.
 
Ushauri ni jambo la muhimu kwani vijana wengi hujikuta wakiingia mkenge ktk machaguo yao na wakija kushtuka hakuna namna tena.
 
Thankx Mkuu! You have opened my eyes from deep sleep.
 
je
akiomba education hapo anaweza akapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…