Hzo gari za mwaka gani?Binafsi nimevutiwa sana na gari ya aina ya BMW 3 Series (318i) na Subaru Impreza. Lakini kabla sijafikia uamuzi ni gari gani ninunue kati ya hayo mawili ningeomba ushauri wenu wana-JF hapa jamvini na mnipe sababu za kiufundi kuhusu magari yote hayo mawili kila moja hasara na faida zake. Ningependa sana kuangazia hasa katika gharama za uendeshaji wa magari haya mawaili yahani subaru na BMW. Pia ingaliwe katika upatikanaji (availability) wa spear parts (bei si tatizo) na pia upatikanaji wa mafundi wa kurepair, kutengeneza na kufanyia service ya aina hiyo ya magari na ni wapi wanapatikana. Kwa kifupi kuhusu ulaji wa mafuta bi hivi: BMW ni 1890cc pia ni 5AT&MT mode (inakula lita 9.8 kwa kilometa), na Subaru Impreza ni 1500cc. Naombeni ushauri wenu na ni-taapriciate kwa ushauri wenu. Naomba kila anayetoa ushauri ani-tag ili niweze kupata ujumbe kwa urahisi.
Hilo gari au takataka?lita 9.8 kwa Kilometre?lol kwa hiyo ukienda Arusha utahitaji pipa la mafuta uende nalo!
Binafsi nimevutiwa sana na gari ya aina ya BMW 3 Series (318i) na Subaru Impreza. Lakini kabla sijafikia uamuzi ni gari gani ninunue kati ya hayo mawili ningeomba ushauri wenu wana-JF hapa jamvini na mnipe sababu za kiufundi kuhusu magari yote hayo mawili kila moja hasara na faida zake. Ningependa sana kuangazia hasa katika gharama za uendeshaji wa magari haya mawaili yahani subaru na BMW. Pia ingaliwe katika upatikanaji (availability) wa spear parts (bei si tatizo) na pia upatikanaji wa mafundi wa kurepair, kutengeneza na kufanyia service ya aina hiyo ya magari na ni wapi wanapatikana. Kwa kifupi kuhusu ulaji wa mafuta bi hivi: BMW ni 1890cc pia ni 5AT&MT mode (ulaji wa mafuta ni kilometa 9.8 kwa lita), na Subaru Impreza ni 1500cc. Naombeni ushauri wenu na ni-taapriciate kwa ushauri wenu. Naomba kila anayetoa ushauri ani-tag ili niweze kupata ujumbe kwa urahisi.

chukua BMW kiongozi, ni gari nzuri sana na spea zake zipo za kutosha kariakoo pale huangaiki na ni bei nzuri. Service yake ya kawaida sana, oil filter 25,000/=, engine oil bei zile zile. Unawezalitumia hata mwaka halijakanyaga garage, ni mwendo wa service tu muda unapofika. Gari kama Benz na BMW ni magari magumu sana na pia appearance zake za kiExecutive, linapendezea kwa watu wa ofisini na kila mahali, imagine umegonga suti unaingia kwenye subaru na mwingine kala suti kazama kwenye BMW, yupi katokezea???Binafsi nimevutiwa sana na gari ya aina ya BMW 3 Series (318i) na Subaru Impreza. Lakini kabla sijafikia uamuzi ni gari gani ninunue kati ya hayo mawili ningeomba ushauri wenu wana-JF hapa jamvini na mnipe sababu za kiufundi kuhusu magari yote hayo mawili kila moja hasara na faida zake. Ningependa sana kuangazia hasa katika gharama za uendeshaji wa magari haya mawaili yahani subaru na BMW. Pia ingaliwe katika upatikanaji (availability) wa spear parts (bei si tatizo) na pia upatikanaji wa mafundi wa kurepair, kutengeneza na kufanyia service ya aina hiyo ya magari na ni wapi wanapatikana. Kwa kifupi kuhusu ulaji wa mafuta bi hivi: BMW ni 1890cc pia ni 5AT&MT mode (ulaji wa mafuta ni kilometa 9.8 kwa lita), na Subaru Impreza ni 1500cc. Naombeni ushauri wenu na ni-taapriciate kwa ushauri wenu. Naomba kila anayetoa ushauri ani-tag ili niweze kupata ujumbe kwa urahisi.
chukua BMW kiongozi, ni gari nzuri sana na spea zake zipo za kutosha kariakoo pale huangaiki na ni bei nzuri. Service yake ya kawaida sana, oil filter 10,000/=, engine oil bei zile zile. Unawezalitumia hata mwaka halijakanyaga garage, ni mwendo wa service tu muda unapofika. Gari kama Benz na BMW ni magari magumu sana na pia appearance zake za kiExecutive, linapendezea kwa watu wa ofisini na kila mahali, imagine umegonga suti unaingia kwenye subaru na mwingine kala suti kazama kwenye BMW, yupi katokezea???
zipo Model nyingi za BMW 3-Series..
BMW E21 – (1975–1983) 3 Series
BMW E30 – (1983–1991) 3 Series
BMW E36 – (1991–2000) 3 Series
BMW E46 – (1999–2006) 3 Series
BMW E90 – (2005–2011/EUR, 2006–2011/US) 3 Series saloon
BMW E91 – (2005–2011/EUR, 2006–2011/US) 3 Series Touring (Sports Wagon)
BMW E92 – (2007–2011) 3 Series Coupé
BMW E93 – (2007–2013) 3 Series Convertible
BMW F30 – (2012𔃁 Series saloon
BMW F31 – (2012𔃁 Series Touring (Sports Wagon)
kwa Case yako nadhani unaongelea BMW 318i au 320i ambazo zinaangukia kundi la E46,, Asilimia kubwa ya hizo BMW zinatumia Automanual transmission yaani kama unapenda Manual utaendesha na kama Automatic utaendesha pia.
kama wewe ni mtu wa Sports kidogo, unataka kuPush the limits kidogo basi BMW pia linakufaa,, ni gari tulivu lisilo na mbwembwe "kama Simba alielala'' ila ukilifungua linafunguka vibaya sana,,Speedometer inasoma 250km/h kitu ambacho ni no match kwa hizo Subaru..
kwa upande wa bei hazijatofautiana sana. Kama unategemea kuImport, bei itakuwa ndogo ukilinganisha na kununua hapa TZ..Bei around 10 - 11Mil each,,
BMW Ni gari nzuri lkn 2000 hiyo ni miaka 13 iliyopita itatoboa mfuko wako kwa parts, is old. Kuhusu Impreza ni choice nzuri kwa bei tu ni 10m ikiwa bado nje ya nchi lkn BMW Ni 1.3m pia outside. Kama una hela mbona umeweka miaka tofauti?
Aise ndugu nashukuru sana kwa ushauri wako mzuri. Hakika umetoa ushauri bomba sana na kwa kweli sasa let me forget about Subaru, Ntaagiza BMW sasa. Nafikiria kuagiza toka Japan lakini pia nikipata show room nzuri hapa Dar naweza itungua hapo moja kwa moja. Kwa japani kuna Autorec (bei juu sana) na Tradecarview (ambao bei nafuu kidogo). kama unaifahamu link yoyote ambayo pia inaexport magari unaweza nirushia hapa. Asante sana.
Binafsi nimevutiwa sana na gari ya aina ya BMW 3 Series (318i) na Subaru Impreza. Lakini kabla sijafikia uamuzi ni gari gani ninunue kati ya hayo mawili ningeomba ushauri wenu wana-JF hapa jamvini na mnipe sababu za kiufundi kuhusu magari yote hayo mawili kila moja hasara na faida zake. Ningependa sana kuangazia hasa katika gharama za uendeshaji wa magari haya mawaili yahani subaru na BMW. Pia ingaliwe katika upatikanaji (availability) wa spear parts (bei si tatizo) na pia upatikanaji wa mafundi wa kurepair, kutengeneza na kufanyia service ya aina hiyo ya magari na ni wapi wanapatikana. Kwa kifupi kuhusu ulaji wa mafuta bi hivi: BMW ni 1890cc pia ni 5AT&MT mode (ulaji wa mafuta ni kilometa 9.8 kwa lita), na Subaru Impreza ni 1500cc. Naombeni ushauri wenu na ni-taapriciate kwa ushauri wenu. Naomba kila anayetoa ushauri ani-tag ili niweze kupata ujumbe kwa urahisi.
BMW ni gari nzuri sana ukiagiza nitafute for clearance services: sales@mikumifreight.co.tz and visit our website Mikumi Freight | Home
Aisee tena ni wakati mwafaka huu mkuuBMW ni gari nzuri sana ukiagiza nitafute for clearance services: sales@mikumifreight.co.tz and visit our website Mikumi Freight | Home