Ushauri kuhusu gari BMW Series 3 ama Subaru Impreza

Ushauri kuhusu gari BMW Series 3 ama Subaru Impreza

Ninatumia BMW 320i mwaka wa 4 sasa ni gari ngumu imara na nzuri ,sifikirii kubadili gari kabisa
 
Kuhusu kodi hizi gari za series 3 ni kama ifuatavyo:-

2004 = or < 2500 Usd
2005 = 3800 Usd
2006 = 5000 Usd.

Bei (CIF) yake online on average:-

2006 = 7000 Usd
2005 = 5500 Usd
2004 = 3000 Usd

Kwa hapo ambayo kiukweli nimeipenda ilivyo ni 2006 Model hii kitu ni hatee cheki picha chini hapo hatareee!

so jipangeni Vijana mje mtusumbue mjini!
tunashkuru kwa uchambuzi wa ushuru mkuu. je 3-series za kati ya mwaka 1999, 2000, 2001, 2002 ushuru ni kiasi gani? kwa mfano hizi ambazo CIF (Dar) kati ya $2000 - $2700??

BF252581_136441.jpg

BF264698_792321.jpg

BF251654_dbd6ad.jpg
 
BMW ni ya mwaka 2000 na Subaru Impreza ni ya mwaka 2006. Asante
Nafikiri si ulinganishi wa haki kwa gari ya mwaka 2000/1980 cc kulinganisha na gari ya 2006/1500 cc. Angalau zote zingekuwa za mwaka na engine size moja.
 
Mkuu BMW sajawahi tumia, bt I will always give 5* to subaru forester coz naijua vilivyo.
 
Mkuu ulishachukua gari BMW, mm nataka kuchukua kabla ya kuchukua napitia ushauri wa wadau mbali mbali kwenye jukwaa hili muhim
 
chukua BMW kiongozi, ni gari nzuri sana na spea zake zipo za kutosha kariakoo pale huangaiki na ni bei nzuri. Service yake ya kawaida sana, oil filter 25,000/=, engine oil bei zile zile. Unawezalitumia hata mwaka halijakanyaga garage, ni mwendo wa service tu muda unapofika. Gari kama Benz na BMW ni magari magumu sana na pia appearance zake za kiExecutive, linapendezea kwa watu wa ofisini na kila mahali, imagine umegonga suti unaingia kwenye subaru na mwingine kala suti kazama kwenye BMW, yupi katokezea???

zipo Model nyingi za BMW 3-Series..

BMW E21 – (1975–1983) 3 Series
BMW E30 – (1983–1991) 3 Series
BMW E36 – (1991–2000) 3 Series
BMW E46 – (1999–2006) 3 Series
BMW E90 – (2005–2011/EUR, 2006–2011/US) 3 Series saloon
BMW E91 – (2005–2011/EUR, 2006–2011/US) 3 Series Touring (Sports Wagon)
BMW E92 – (2007–2011) 3 Series Coupé
BMW E93 – (2007–2013) 3 Series Convertible
BMW F30 – (2012–) 3 Series saloon
BMW F31 – (2012–) 3 Series Touring (Sports Wagon)

kwa Case yako nadhani unaongelea BMW 318i au 320i ambazo zinaangukia kundi la E46,, Asilimia kubwa ya hizo BMW zinatumia Automanual (Streptronic) transmission yaani kama unapenda Manual utaendesha na kama Automatic utaendesha pia.

t83uar.jpg

kama wewe ni mtu wa Sports kidogo, unataka kuPush the limits kidogo basi BMW pia linakufaa,, ni gari tulivu lisilo na mbwembwe "kama Simba alielala'' ila ukilifungua linafunguka vibaya sana,,Speedometer inasoma 250km/h kitu ambacho ni no match kwa hizo Subaru..

images
images

cp4617425508672923990.jpg

bmw%20e46%20m%20tech1.jpg

automesse-2005-und-winter-suechteln-048-58776.jpg

ukaamua kulipimp kidogo, Xenon Headlights, Angel Eyes na 20" Alloy Rims..

images
images
images

kwa upande wa bei hazijatofautiana sana. Kama unategemea kuImport, bei itakuwa ndogo ukilinganisha na kununua hapa TZ..Bei around 9 - 11Mil each,,

2unxzme.jpg

Mkuu wewe ni great thinker. Tukiwa na watu kama wewe 100 basi jf ni shule tosha. Pamoja na kwamba ameleta mwingine mada ila imeninufaisha sana.

Naomba kuuliza. Hyo bei ni hadi kodi na kila kitu,???
 
Chukua subaru impreza wrx sti..6 speed manual, 2.0 sti engine. Very powerful and it takes u from point A to D very fast. 2.0 cc, fuel consumption inategemea na uendeshaji wako na All wheel drive .ie four wheel drive..spea zipo na mafundi wapo wengi maeneo ya ada estate kinondoni. BMW ni nzuri ila haikupi perfomance ya subaru na ina complications nyingi kuliko subaru..ukinunua BMW tafuta kiongozi wa dini akufungishe nayo ndoa haina re-sale value kama subaru impreza.
 
Watu wabaya nyinyi. Kwa nini asiuze na umeambiwa ni gari za kibosile.
 
Mkuu inaelekea BMW unazifahamu sana,
Kuna jamaa yangu mmoja ana BMW 318i yake, 3doors, CC 2000.

Anasema inanguruma mno so anahisi engine mountings zimekatika.

Pili anadai akiweka mafuta ya 20,000/- (10ltrs) anaenda approximately 50km.

Waweza kusaidia hapa wapi atapata engine mounting na Fundi Mzuri hapa DSM?

Pili hii ya kula Mafuta ni zaidi hata ya Toyota ya CC hizo 2000, tatizo laweza kusababishwa na nini?
 
Mkuu wewe ni great thinker. Tukiwa na watu kama wewe 100 basi jf ni shule tosha. Pamoja na kwamba ameleta mwingine mada ila imeninufaisha sana.

Naomba kuuliza. Hyo bei ni hadi kodi na kila kitu,???

CIF + Inspection,
Kwamba bei ya kununulia Japan + Ukaguzi wa kule kwa Niaba ya TBS + Usafiri wa Meli from Japan to Dsm pamoja na Bima yake hiyo meli.

Hapa utahitajika kuongeza Kodi ya TRA,
Usajili TRA,
Shipping Line,
Ushuru wa Bandari (wharfage), hapa ukichelewa utalambwa na storage charges,
Agency Fees,
Bima ikiwa Barabarani,
 
BMW ni gari zuri lakini spear zake ujiandae mfukoni usije ukarudi hapa unatafuta mteja wa kulinunua
 
Mkuu wewe ni great thinker. Tukiwa na watu kama wewe 100 basi jf ni shule tosha. Pamoja na kwamba ameleta mwingine mada ila imeninufaisha sana.

Naomba kuuliza. Hyo bei ni hadi kodi na kila kitu,???
CIF + Inspection,
Kwamba bei ya kununulia Japan + Ukaguzi wa kule kwa Niaba ya TBS + Usafiri wa Meli from Japan to Dsm pamoja na Bima yake hiyo meli.

Hapa utahitajika kuongeza Kodi ya TRA,
Usajili TRA,
Shipping Line,
Ushuru wa Bandari (wharfage), hapa ukichelewa utalambwa na storage charges,
Agency Fees,
Bima ikiwa Barabarani,

Hiyo bei ni jumla ya kila kitu, yaani kwa mfano 2000 BMW 3 Series yenye CIF (cost+insurance+inspection+freight) -> $ 2300 ni approximately Tsh mil. 4,100,000/= pamoja na cost ya kutuma TT. Likishafika bandarini utalipa Shipping Line 150,000/=, Duty ~ 5,000,000/=, Port Charges ~ 380,000/=, Registration 350,000/=, Agency Fee 200,000/=, Plate Number 40,000/=, Fire Ext. 30,000/=, Insurance 100,000/=, Sticker (nenda kwa usalama) 3,000/=, Service 50,000/=,...Total (10,400,000/=) au kwa kifupi 10.4mil... Kwahiyo inategemea na model utakayochukua na pia CIF yake,, model za 2000-2004 unaweza kupata kwa budget ya 9-11mil..
 
Chukua subaru impreza wrx sti..6 speed manual, 2.0 sti engine. Very powerful and it takes u from point A to D very fast. 2.0 cc, fuel consumption inategemea na uendeshaji wako na All wheel drive .ie four wheel drive..spea zipo na mafundi wapo wengi maeneo ya ada estate kinondoni. BMW ni nzuri ila haikupi perfomance ya subaru na ina complications nyingi kuliko subaru..ukinunua BMW tafuta kiongozi wa dini akufungishe nayo ndoa haina re-sale value kama subaru impreza.
Performance gani unaongelea mkuu? Kwasababu kama ni upande wa speed na pulling huwezi fananisha bmw na hizo wrx au sti. Laiti ungekuwa Arusha nikakupa raundi kwenye 3series msports naturally aspirated hapa ungeuza hizo subaru zako zote. 250km/hr speed unaimaliza yote in less than 1 minute, huwezi fananisha na hizo 180km/hr Subaru. Usiongee tu kisa subaru zimejaa mjini, tafuta BMW endesha alafu urudi hapa utoe reviews. Ingia youtube angalia performance kati ya bmw na subaru... http://youtu.be/ZF23zo0UBQQ

http://youtu.be/_126c1ZJPUk
 
Mzee wa Chelsea nimependa uchambuzi wako murua kuna kitu naomba kuuliza kwako naona BMW ndiyo maradhi yako.

Hizi BMW za South Africa na za
Sham Shui Po Hong Kong ni majanga kawa watu wanavyosema mitaani.

Nipe darasa mkuu.
 
Mkuu TO2004 hebu tuchanganulie hiyo tofauti kati ya Subaru Forester na BMW kama alivyofanya hapo juu ChelseaBlue!

HABARINI WAKUU,
YANI NIMEONA HUU UZI NIMECHEKA NA KUSIKITIKA SANA. HUWEZI FANANISHA BIMMER NA SUBARU HAPO NIKU KWAMA KWENYE LAMI. INGEMAKE ALOT OF SENSE KAMA UNGE FANANISHA BMW,BENZ,AUDIO,VOLKSWAGEN,PORSCHE -CAYENNE, RANGE ETC ILA SIO SUBARU. SUBARUFANANISHA NA TOYOTA MARK X . ALTEZZA NA TYPE IZO. HAPO HATA USHAURI UTAOPATA UTAKUWA NI SAWA. BIMMER NI CHUMA MZEE SIO HAYO MABATI WATU TUNASHOW OFF NAYO MJINI. PIA UNANUNUA GARI KWAAJILI UNAIENDA AU UNANUNUA GARI ILI KURAISHISHA MOVEMENT. KAMA NI MOVEMENT CHUKUA HATA VITZ MZEE ALAFU HAYO MENGINE JIPANGE ZAIDI. DON'T BITE MORE THAN YOU CAN CHEW.
 
Performance gani unaongelea mkuu? Kwasababu kama ni upande wa speed na pulling huwezi fananisha bmw na hizo wrx au sti. Laiti ungekuwa Arusha nikakupa raundi kwenye 3series msports naturally aspirated hapa ungeuza hizo subaru zako zote. 250km/hr speed unaimaliza yote in less than 1 minute, huwezi fananisha na hizo 180km/hr Subaru. Usiongee tu kisa subaru zimejaa mjini, tafuta BMW endesha alafu urudi hapa utoe reviews. Ingia youtube angalia performance kati ya bmw na subaru...

THANKS FOR THE HONEST FEEDBACK KAMANDA, HAPA CHUGA MZEE BMW NDO HABARI YA MJINI SASA. HATA MM BINAFSI NAJIWEKA SAWA NIVUTE 3 SERIES M-SPORT. MAMBO YA WESE TUWAACHIE WA IST. ITS ALL ABOUT COMFORTABILITY, WE LIVE ONCE. WATUMSINUNUE MAGARI KWASABABU WENGINE WANASEMA NI EXPENSIVE KU MAINTAIN. KUNA MSELA ALINAMBIA BMW NI MAGARI YA KIMASKINI NIKACHEKA SANA AKANIFAFANULIA KUWA NI KWASABABU IZO GARI KWENDA GARAGE NI NADRA SANAAA NDO MAANA ILA IZO TOYOTA NI YA MATAJIRI MAANA WENYE NAZO WANAPENDA SANAKWENDA GARAGE KUSPEND.(cheap is expensive)
 
Back
Top Bottom