36Una miaka mingap ndugu
Joseverist hapo ni suala la kutunza mda tu...Kuwa mstaarabu mkuu, mapenzi gani hayo ya kunywa mate ya mwenzako
Kwa hiyo ww hujawah yala kabisa, sema inawezekana usijue ni wakati gani huwa unayala... Yaan kama ww ni mtu mzima unaweza kuta ukiweka kwenye ndoo ya maji tokea ulipoanza yala hadi mda huu unaweza kukuta inakaribia nusu ndoo...Hiv unaanzaje kula mate ya mwenzako???

Mawazo yangu yaheshimiwe, hii ni awamu ya hapa kazi tu, sasa haiwezekan kitendo chenyewe hata dakika 15 haziishi, ila unajikuta unapoteza mda mwingi kwenye kunyonyana hivyo vimiminika... Ni bora kurahisisha tu zoezi ili kutopoteza muda wa kufanya mambo mengineKwel,
Akili ni nyweke kila mtu anazake
Kumbe ukiandika matusi kwa kifupi huli ban ee sikujua kumbe nisingekula ban juzi katiUnato.
Mbwa.
Wewe!
kweli mkuuJoseverist hapo ni suala la kutunza mda tu...