Nasikitika sana mnavonipinga kama huwa hamnyonyi madenda kwa wapenzi wenu... Kwani mate na denda si kitu kile kile au ukinyonya yakiwa bado mdomon kwa mwenzio na ukiwekewa sehem nyingine unywe si kitu kile kile kama issue ni kunyonya basi waweza tumia hata mrija yakiwa kwenye kikombe na ukanyonya vile vileKuwa mstaarabu mkuu, mapenzi gani hayo ya kunywa mate ya mwenzako
Mkuu hujawahi nyonya kweli denda au bado uko under 12 agewe jamaa bure kabisa
Jaman ulisha wahi nyonywa lakini au kunyonywa yaan pale lazima uvute mate ya mwenzako... Sasa mm nmetoa kama ushauri tu ili kuokoa mda kwann msiyaweke chomboni tu!Umenitia kinyaa mkuu
Umuhimu wa french kissing sio hiyo mimate, ni kukutana kwa lips... Inatengeneza hormones fulani na kukufanya ufeel amazing
Una miaka mingap nduguHiv unaanzaje kula mate ya mwenzako???
Hii post naweza nika iita ngumu kumeza kwa sabab watu tunakimbia kivuli chetu yaan tunajua tunafanya ila kukubali kuwa ikifanyika kwa njia nyingine ambapo content inabak ile kwa maana mate ni yale yale watu hamtakk kukubali...Eti haka kautaratibu mkiwa mmemisianaa na mpenzi mkikutana mnaanza kunyonyana denda weee tena kwa mda kabla ya kufanya kitu fulani kilicho wafanya mkutane hapo.
Sasa mimi nimepata wazo hivi kwanini lile denda la mpenzi wako asikuwekee tuu kwenye kikombe hata iwe robo au nusu ili ulinywe lote mara moja tu ili kuokoa mda kwa sababu kuna mda unaweza chelewa masuala ya muhimu kwa sababu ya kulinyonya tu hilo denda kwa mwenzio.
Na kama kunyonyana denda ndo ishara ya kupendana basi likiwekwa kwenye kikombe nahisi ndo yatakuwa mapenzi ya kweli.
=============
Kalenga kidamali
Na kiponzero nitawasalimiaWasalimie na Nzihi na wale wa Mangalali
Hujalazi!ishwa kufanya hivyo... Kama wewe mshamba na kuona ni bugudha acha basi ...Jaman ulisha wahi nyonywa lakini au kunyonywa yaan pale lazima uvute mate ya mwenzako... Sasa mm nmetoa kama ushauri tu ili kuokoa mda kwann msiyaweke chomboni tu!
Naona unapenda sana...kanunue SIMTANK kabisaNasikitika sana mnavonipinga kama huwa hamnyonyi madenda kwa wapenzi wenu... Kwani mate na denda si kitu kile kile au ukinyonya yakiwa bado mdomon kwa mwenzio na ukiwekewa sehem nyingine unywe si kitu kile kile kama issue ni kunyonya basi waweza tumia hata mrija yakiwa kwenye kikombe na ukanyonya vile vile
Akili za usikuEti haka kautaratibu mkiwa mmemisianaa na mpenzi mkikutana mnaanza kunyonyana denda weee tena kwa mda kabla ya kufanya kitu fulani kilicho wafanya mkutane hapo.
Sasa mimi nimepata wazo hivi kwanini lile denda la mpenzi wako asikuwekee tuu kwenye kikombe hata iwe robo au nusu ili ulinywe lote mara moja tu ili kuokoa mda kwa sababu kuna mda unaweza chelewa masuala ya muhimu kwa sababu ya kulinyonya tu hilo denda kwa mwenzio.
Na kama kunyonyana denda ndo ishara ya kupendana basi likiwekwa kwenye kikombe nahisi ndo yatakuwa mapenzi ya kweli.
=============
Kalenga kidamali
usiwasahau wa ulanda, kibebe na weluNa kiponzero nitawasalimia
Utakuwa umelogwa wewe si bureEti haka kautaratibu mkiwa mmemisianaa na mpenzi mkikutana mnaanza kunyonyana denda weee tena kwa mda kabla ya kufanya kitu fulani kilicho wafanya mkutane hapo.