ndio mkuu nahitaji ushauri nimeandaa kama mil.2 hv[/quote Mtaji wa 2m kwa BIASHARA ya vinywaji mchanganyiko unaweza tosha kama eneo ulipo vyumba vya biashara si aghali na hawana masharti ya kodi ya miezi 6 au 12. Usiji limit kwa reja reja, wauzaji wakuu wa vinwaji hutoa bidhaa na malipo baada ya siku kadhaa.