Ushauri kuhusu biashara ya kuuza vinywaji vya aina zote (Vikali na vya kawaida)

Kuna sehem moja Mbili tatu zitakusaidia.
Ya kwanza ni pale manzese tip top kwenye maduka ya liquor store Especially pale depot ya mrina wako na bei reasonable sana,
Ya pili Ni kitumbini ukiulizia tu kule kuna maduka ya wahind pale ni maarufu sana kwa kuuza Wine,Shampen
mwisho ni k.koo mtaa wa mkunguni.

Hii biashara Nimefanya sana nilipomaliza chuo na imeniweka sana mtaani na kunipa uzoefu wa kutosha.Best of lucky Jamaa
Insightful.....naomba tuwasiliane Pm bwn LYNCH
 
ASALI KUTOKA TABORA.

Nauza Asali Ya Jumla Na Rejareja
Ipo Ya Nyuki Wadogo Na Nyuki Wakubwa.

Tunafunga Kwa Vipimo Tofauti Tofautii

Bei Ya Rejareja
Lita1 - 10,000 (Nyuki Wa Kubwa)
Lita1 - 25,000 (Nyuko Wa Dogo)

Bei Ya Jumla
Tuwasiliane Maana Kuna Ofa Zaidi

0658 357537
Call/ WhatsApp/Sms
Tabora

Tunafanya Delivery Nchi Nzima.
255694442777_status_db9b33aba6e54e2ca762d917c28c09f2.jpg
 
Mimi nina Creti za bia na cocacola pia Pepsi nauza nipo Dar es salaam kama unaitaji njoo inbox
 
Kuna sehem moja Mbili tatu zitakusaidia.
Ya kwanza ni pale manzese tip top kwenye maduka ya liquor store Especially pale depot ya mrina wako na bei reasonable sana,
Ya pili Ni kitumbini ukiulizia tu kule kuna maduka ya wahind pale ni maarufu sana kwa kuuza Wine,Shampen
mwisho ni k.koo mtaa wa mkunguni.

Hii biashara Nimefanya sana nilipomaliza chuo na imeniweka sana mtaani na kunipa uzoefu wa kutosha.Best of lucky Jamaa
Safi

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Habari wadau! Natafuta mmbia wa kufanya nae biashara ya grocery pande ya Sinza A, sehemu ni yangu binafsi na eneo si barabarani ila ndani kidogo. Mchango wa mbia awe na fridge na freezer, mtaji wa vinywaji au vinywaji vinavyohitajika, viti na meza chache za kukalia, kufuatilia vibali vya kufanya biashara hiyo, awe na uwezo wa kuchangia gharama za msingi kama umeme, maji , taka n.k. Silengi kitu kikubwa sana, ila ikikua ni kheri zaidi. Natanguliza shukrani
Sasa hapo huyo si ndiyo mmiliki wa hiyo biashara? Ubia unatoka wapi tena wakati gharama zote amelipa yeye?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Kuna sehem moja Mbili tatu zitakusaidia.
Ya kwanza ni pale manzese tip top kwenye maduka ya liquor store Especially pale depot ya mrina wako na bei reasonable sana,
Ya pili Ni kitumbini ukiulizia tu kule kuna maduka ya wahind pale ni maarufu sana kwa kuuza Wine,Shampen
mwisho ni k.koo mtaa wa mkunguni.

Hii biashara Nimefanya sana nilipomaliza chuo na imeniweka sana mtaani na kunipa uzoefu wa kutosha.Best of lucky Jamaa
Kwema?
 
Back
Top Bottom