Jana Mhe. Rais alifungua Bandari kavu ya Kwala. Hongera sana. Kwenye maelezo ya Mhe. Mbarawa kwa Mhe. Rais alitaja mambo yafuatayo:-
(1) Bandari kavu ya Kwala itahudumia makasha yanayokadiriwa 300,000 kwa mwaka.
(2) Bandari kavu ya Kwala itahudumia 30% ya makasha yote ktoka Bandari ya Dar es Salaam. Sasa swali langu.
Kwanini Serikali isitafute eneo kubwa litakaloweza kuhudumia makasha yote kwa asilimia mia moja?. Pili kama Serikali ina uwezo . Je ni kwa nini ICD nyingi zimefunguliwa badala ya Serikali kufanya kazi hiyo?.
Ninaishauri Serikali itafute eneo kubwa na ijenge bandari kavu ili iweze kuhudumia makasha yote yanayokadiriwa kuwa 3 millioni kwa mwaka kuliko kuwaachia watu binafsi kufungua ICDS nyingi.