Ushauri kuhusu accounting na I.T | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kuhusu accounting na I.T

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by gbrother, Aug 29, 2012.

 1. gbrother

  gbrother JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ndugu naomba ushauri wenu kidogo, kati ya hizo course mbili ipi ina soko kubwa la ajira kwa sasa?
   
 2. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  kwa upeo wangu bora accounting ila tungoje wadau wengine
   
 3. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Suala la ajira siku hizi ni kujuana tu. Hakuna course itakayo kuwa na ajira kama huna mtu wa kukushika mkono.
   
 4. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Graduates wa accounts wako ka 15000 wana hang kitaa man..!
   
 5. gbrother

  gbrother JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kama hakuna mtu wa kukushika mkono, ipi ina nafasi kubwa ya kupata ajira?
   
 6. gbrother

  gbrother JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  vp kuhusu i.t mkubwa?
   
 7. gbrother

  gbrother JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  so accng ndio wigo wa ajira ni mkubwa hata kama huna godfather,
   
 8. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  acc ina wigo mkubwa sana kama kuna kuna watu 15000 wanahang bac jua kuna mara 3 ya iyo idad kwa i.t
   
 9. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  cha kukushaur ni kusoma kitu ambacho una interest
   
 10. M

  MTITIMA Member

  #10
  Aug 30, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ushauri kw wote.
  Unapotak kusoma corse jaribu kuangalia Matokeo ya iyo corse Miaka mitatu kutoka sasa mtakuwa Wangapi Sokoni.ACCOUNTING imekuwa ndo corse ya kukimbilia.takriban kila chuo ki a degree ya Account sasa.pia jaribu Kuangalia Corse inayoweza kukupa Uwezo wa kujiajiri na si kuajiliwa tu.
  Mi kwa mtazamo wangu Sikushauri Uchukue Accounting ndugu yangu.
   
 11. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  mkuu swala la kujiajili ni kujipanga kwa mtu si vyeti
   
 12. N

  Nyakwec's Bro JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kijana inategemea na mtizamo wapo mbeleni mm binafsi ninaona kwa mtu ambaye unategemea kujiajiri mwenyewe mapema tu hata ukiwa bado uko shule soma IT,ukiwa competent kazi za IT kibao mtaani za kujiajiri na unapiga pesa km kawa lkn kwa uhasibu sina ujuzi sana ninajua wengi ni kuhesabu pesa za watu kujiajiri kwa hy fani hadi uwe certified na inahitaji ubavu,hp wengine watakujuza kwenye hili!...
   
 13. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  duh, tusikariri kuajiriwa jamani...piga IT uje ujiajiri na kutoa ajira kwa wenzako hata hao maakauntants...
   
 14. JOAQUEM

  JOAQUEM JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 1,436
  Likes Received: 726
  Trophy Points: 280
  Uko right mkuu
   
 15. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #15
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,332
  Likes Received: 2,639
  Trophy Points: 280
  am in IT industry ila sishauri kabisa mtu aje kipande hii, piga zako accounting huko utaweza kujiendeleza na sehemu nyingine zilizopo kipande hiyo kama Marketing, Finance, Business Administration n.k.
   
 16. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #16
  Aug 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  wakuu mi navyoona i.t iko limited sana tofaut na acc ambayo ina option nying tofaut na ajira
   
 17. gbrother

  gbrother JF-Expert Member

  #17
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wakuu,
  asanteni sana mpaka sasa kuna vi2 nimevipata kutoka kwenu,
  upande wa it inakupa wigo mpana wa kujiajiri mwenyewe hata kama ajira ni tity,
  accounting inawezakukupa option kadhaa zinazohusu kazi za biashara lk banking,finance, marketing etc,
  nimewasoma vizuri ndugu
   
Loading...