Mkuu... Io inaitwa rh-incompatibility..
Mama rh-na baba rh+ atajifungua mtoto wa kwanza salama kwasababu mwili wake unakua hauna chance ya kudevelop antibodies nyingi (hivyo haitomdhuru mtoto) unless kama alikuwa sensitized hapo kabla.
Huyu mama akipata mimba ya pili ambapo mtoto anaweza kuwa rh+ antibodies za mama rh-, zitadetect (zitaona) kama yule mtoto tumboni ni foreign body(kitu kipya hakijazoeleka?) kwaio antibodies za mama zitaenda fight na zile +cell za mtoto kule tumboni na kuziharibu, hivyo itafanya mtoto kupata complications kama jaundice, heart failure etc..
hivyo itabidi achome anti-D, ambayo hii itamsaidia mama na huyo mtoto anaefata kuwa salama...
Sijui kama umeelewa or unahitaji more clarifications.. 👍