bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 8,094
- 7,853
I say mimi siyo mnyonge, nimesoma sana tu Alhamdulillah namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uwezo na akili ya kusomaIla nmeamini humu hakuna mnyonge aisee,
I say mimi siyo mnyonge, nimesoma sana tu Alhamdulillah namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uwezo na akili ya kusomaIla nmeamini humu hakuna mnyonge aisee,
Kazi yake ni kuonesha kama makundi ya damu ya watu wawili yanaweza faa kuchanganywa au lah.. (compatibility of mixing two blood groups) mfano mama mwenye - ve na mtoto mwenye +ve.. Ili isilete shida.Hiyo protein ina kazi gani?