Corosive
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 1,459
- 2,959
Ndugu zangu habarini za miamko?naomba niende kwenye hoja,mke wa jamaa yangu alikua mjamzito na wakati ameenda clinic alipimwa damu kama ilivyo utaratibu, baadae akagundulika ana Rh- wakati huo mumewe ana Rh+ manesi walimshauri atumie dawa fulani na kumsisitiza sana kwani angeweza kujifungua mtoto wa kwanza salama lkn wengine asingefanikiwa kuwazaa salama,
Hoja yangu-ni kwanini mtoto wa kwanza atoke salama lkn wengine wasizaliwe salama? Naomba nieleweshe kiufasaha zaidi.
Nawashukuru sana
Hoja yangu-ni kwanini mtoto wa kwanza atoke salama lkn wengine wasizaliwe salama? Naomba nieleweshe kiufasaha zaidi.
Nawashukuru sana