Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,511
- 6,888
wakubwa,nimetafakari kuanzisha huduma ya kiroho kama ile ya mwammposa ya kuondoa matatizo ya watu kupitia ukanyagaji na upakaji wa mafuta lakini sijui nianzie wapi
Kwahiyo kwa mwenye uelewa kuhusu hizi huduma tafadhari nijulishe natakiwa nifanye nini ili na mimi huduma yangu ifanikiwe
Na labda niwe muwazi kabisa kuwa sikusudii kuanzisha hii huduma kwa lengo la kupata utajiri bali kwa nia safi kabisa ya kuwasaidia watu wenye matatizo hasa ya kiuchumi na kimahusiano ambao wanaonekana wako radhi hata kukanyagana ili wayapate mafuta ya kuwaondolea shida zao