CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
- Thread starter
-
- #21
Sharing ni nzuri sana, ila kama wewe kwa binafsi yako utakosa amani kwa watu wanaokufahamu kujua ukubwa au tatizo lako, ni muhimu sana kuchunga privacy yako, vinginevyo itakusumbua psychologicaly na kukunyong'onyeza.
Tafuta wawili watatu uwashirikishe, naamini utapata pa kuanzia kama itakupendeza. nakupendekezea huyu mmojawapo [gfsonwin]. LoL
unam-PM MziziMkavu wala hatasema.
Kama unaogopa kuomba USHAURI kwasababu ya kujulikana na member's hapa jamvini,
mimi naona kama ni vizuri ungetumia jina la mtu mwingine either kwa kusema ni rafikiyo au mtu mwingine yoyote ila unaelezea ikiwa na maudhui yale yale ambayo yamekupata. Hiyo nadhani itakusaidia kupata mawazo ya watu wengi hivyo kuyachambua mawazo ya watu kwa kina.
Charminglady kwani mi wanijua? We kama vipi nimwagie PM ntakusaidia kwa kadri ntakavyoweza. Kama itakuridhia lakini. Kiroho safi
marahaba mdogo wangu.Kwanza shikamoo dada mkubwa..Pili nakubaliana na ushauri wako.. ila kumbuka kuwa kuna issue ambazo ulishawahi kusema kwa njia moja ama nyingine hukuwahi kuzipitia.
Na zile ambazo umekuwa ukifunguka hapa jukwaani ni za kawaida sana ambazo hata.mimi naweza kufunguka.
Hapo mwishoni naona ndiyo pana faa zaidi kuwa niMPM USHAURI kisha yeye ndie anaweza kuileta jukwaan....
Natambua kuwa kuna mambo ya kuweka humu na kuomba ushauri lakini ambayo yanagusa maisha yako ya kila siku na haijalishi kama Boss wako yupo humu au mwenza,kikubwa cha kuangalia ni kwa namna gani unataka ushauri juu ya jambo unalotaka ushauri,kama utataka ushauri wa kumuangamiza Boss wako au kumcheat si rahisi kwako kuliweka hapa maana watakufahamu ila kama unataka ushauri wa ufanye nini kuboresha mazingira yako ya kazi au changamoto unazopitia kazini,inawezekana kabisa kuomba ushauri hapa maana inawezekana Boss wako hajui kinachoendelea ofisini na utakuwa umemsaidia vivo hivyo kwa mwenza wako kama ana tabia mbaya na huipendi utakuwa umemsaidia kubadilika kama ataona post yako humu ingawa inawezekana ni vigumu kwako kumwambia face to face.Ni kweli mkuu... Mficha maradhi kifo humuumbua ila si kila tatizo kila mtu alifahamu. Kuna wakati mtu anaweza kupost tatizo lake mwingine anamcrash hata kumtukana. sio jambo jema kutukanwa kama mtoto na watu wanakufahamu... Kuna wakati hata nahitaji ushauri wa kina kuhusu kazi na wafanyakazi wenzangu hata boss ni member humu, unadhani ni busara wao kuhafamu may be nataka kuacha kazi, au nimefanya kosa flani kazini lakini sijajulikana ila natafuta mbinu ya kurekebisha.. Au mchumba wangu yupo humu na ninahitaji ushauri juu yake, unadhani nitaweza kuomba ushauri???
Hili nalo geni..huyu USHAURI ndio nani??ni ngumu kuwin trust yake kirahisi humu jamvini labda mpka tumzoee kwanza kama ambavyo imekuwa kwa baadhi ya member kama@ashadii .
hapa naona akili ya mama/baba USHAURI iliwaza mbali sana sana. hili ni tatizo kwa mtu mwenye aibu ingawa kwa mtu free kama mm sio ishu kabisaa ingawa jamvini nusu yao wananijua na nimewah kuonana nao ila nikipata gumu huwa nalirusha live. na hata majuzi tu nimetoka kuomba ushauri hapa licha ya kwamba niliyoyaeleza wengine walibahatika nikiwa kwenye hali hiyo.
ushauri wangu kwako m-pm USHAURI atakusaidia na kama ni wa kitabibu pia anaweza kukusaidia.
Habari zenyu binafsi wanajamvi…… Natumaini mko pouwa!!!!!!
Kutokana na kufahamiana mpaka kukutana na baadhi ya memberwa JF, nimekuwa nikipata shida katika kuomba ushauri wa baadhi ya mambo. Mfano1: Nina tatizo la kiafya na ninataka kuomba ushauri, nashindwa kufanya hivyokwa sababu unakuta flani ananifahamu kiuhalisia. Atajua kwamba nasumbuliwa natatizo Fulani la kiafya kitu ambacho sitopenda mtu mwingine afahamu zaidi yamshauri (Daktari).
Mfano 2: NInaweza kuwa na tatizo katika mahusiano yangu auhata kifamialia na ninahitaji ushauri , nashindwa kuomba ushauri kwani kila anayenifahamu kiuhalisia atajuakuwa nina tatizo katika mahusiano yangu au familia yangu.
Wadau, nifanyeje ili nisijulikane wakati Mods wanapingaissue ya kuwa na multiple IDs???????
(Nahisi pia kuna watu watakuwa na tatizo kama langu)
Wabheja sana!!!!! :A S angel:
Ni vizuri kuwa na positive mind kwa watu..Lakn ni vizuri kuwa carefull sio na ndugu yako tu unamjua lakn zaidi sana kwenye huu ulimwengu wa keyboard.Mara nyingi unapoomba ushauri unaweza kujikuta unatoa very senstive information kukuhusu wewe au wale wakuzungukao..Hii ni hatari hasa kumuelezea mtu hata sura humjui au jina.Mie sishauri watu kuomba ushauri wa sensitive issues kwa watu wasiowajua..Ingekuwa ni bora sana kama mtu ana nia ya dhati kusaidia watu basi awe na Verified user name..Itasaidia sana kuwapa watu amani.hilo nalo neno. lakini uzi wake wa jana ulinionyesha kwamba ni mtu ambaye ana utaalam wa haya mambo ya ushauri. na ukweli so long as simjui but ananishawishi kwa maelezo yake basi sion tabu kum-pm when needs arises.
mara zote nimejifunza kuwa na +mind towards others.
marahaba mdogo wangu.
ila kweli nafikiri ni wakati mzuri sana wa sasa kumtumia mama/baba USHAURI hasa kama tatizo lako hupendi liekwe hapa jamvini.
hapa ishu ni kujua kama huyu USHAURI atakuwa available muda wote. na pia confidentiality kwake ikoje. lakini sidhan kwamba kwenye hivi vipengele hata kuwa competent as washauri wengi ni watu wenye uzoefu wao kitaalamu kabisa
Point.Hapo kwenye red ndipo penye utata!!! Kingine tutafahamuje yeye ni nani?? Huenda akaw anatuchora tu kumbe anatufahamu.....
Hapo kwenye red ndipo penye utata!!! Kingine tutafahamuje yeye ni nani?? Huenda akaw anatuchora tu kumbe anatufahamu.....
Ni pm!
Habari zenyu binafsi wanajamvi…… Natumaini mko pouwa!!!!!!
Kutokana na kufahamiana mpaka kukutana na baadhi ya memberwa JF, nimekuwa nikipata shida katika kuomba ushauri wa baadhi ya mambo. Mfano1: Nina tatizo la kiafya na ninataka kuomba ushauri, nashindwa kufanya hivyokwa sababu unakuta flani ananifahamu kiuhalisia. Atajua kwamba nasumbuliwa natatizo Fulani la kiafya kitu ambacho sitopenda mtu mwingine afahamu zaidi yamshauri (Daktari).
Mfano 2: NInaweza kuwa na tatizo katika mahusiano yangu auhata kifamialia na ninahitaji ushauri , nashindwa kuomba ushauri kwani kila anayenifahamu kiuhalisia atajuakuwa nina tatizo katika mahusiano yangu au familia yangu.
Wadau, nifanyeje ili nisijulikane wakati Mods wanapingaissue ya kuwa na multiple IDs???????
(Nahisi pia kuna watu watakuwa na tatizo kama langu)
Wabheja sana!!!!! :A S angel: