CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,998
Mficha maradhi kifo humuumbua,hakuna mwanadamu asiyekuwa na tatizo hivyo kuweka wazi matatizo yako ni jambo litakalokusaidia wewe katika maisha yako si hao wanaukufahamu.
unasema ukweli kabisa, kuna watu wa aina yako ambao wanawaza kutatua matatizo yao tu, haijalishi nani anajua....hapa naona akili ya mama/baba USHAURI iliwaza mbali sana sana. hili ni tatizo kwa mtu mwenye aibu ingawa kwa mtu free kama mm sio ishu kabisaa ingawa jamvini nusu yao wananijua na nimewah kuonana nao ila nikipata gumu huwa nalirusha live. na hata majuzi tu nimetoka kuomba ushauri hapa licha ya kwamba niliyoyaeleza wengine walibahatika nikiwa kwenye hali hiyo.
ushauri wangu kwako m-pm USHAURI atakusaidia na kama ni wa kitabibu pia anaweza kukusaidia.
Mficha maradhi kifo humuumbua,hakuna mwanadamu asiyekuwa na tatizo hivyo kuweka wazi matatizo yako ni jambo litakalokusaidia wewe katika maisha yako si hao wanaukufahamu.
Multiple ID'S naona kama inahusika sana hapa .. japo mods wanalipinga...
Umekosea sana! Ulitakiwa hilo tatizo lako! Ulisemee mwingine!! Liwe tatizo lako lakini ukimuhusisha mwingine!!! Sasa hivi jf unaweza kumuongelea jamaa yako wa karibu sana! Kumbe naye yumo humu!!,, tumia PM kwa watu unaoona hapa jamvini wana upeo na hilo tatizo lako!!@charminglady weka aibu pembeni my dada
hapa naona akili ya mama/baba USHAURI iliwaza mbali sana sana. hili ni tatizo kwa mtu mwenye aibu ingawa kwa mtu free kama mm sio ishu kabisaa ingawa jamvini nusu yao wananijua na nimewah kuonana nao ila nikipata gumu huwa nalirusha live. na hata majuzi tu nimetoka kuomba ushauri hapa licha ya kwamba niliyoyaeleza wengine walibahatika nikiwa kwenye hali hiyo.
ushauri wangu kwako m-pm USHAURI atakusaidia na kama ni wa kitabibu pia anaweza kukusaidia.
Pole miss lady, but once a mistake is done, u gatta live with it positively.. Hata ka umejulikana lakini itabaki kuwa ni wewe na si mwingine, live your life, be free,.we only live once.