Ushauri kati ya IPHONE 6 Plus na Samsung galaxy A8

Ajawai kutumia iphone,kapigiwa stori tu.
 
Mkuu...iPhone nliipenda lkn nilvoipata duuh ata miez sita cjamaliza ....app nying tunazotumia kwenye android hazipo kama hii ya jf huipati,kudownlod masongs hakuna na hata matumiz mengine ya kawaida ni issue...

Post sent using JamiiForums mobile app

kama haujawai kutumia bora ukae kimya tu,kuliko kujidhalilisha.
 
Simu za iphone ni standard moja dunia nzima. Iphone unayotumia wewe ni sawa na iphone inayotumiwa na Warren Buffet.

Ila ukija simu za Android, kuna makundi kibao.
Mara simu za China pekee, simu za US & EU, simu za Afrika.

Hata ukiwa unatafuta kifaa, unahangaika kupita maelezo.

Yani shida tupu.
 
Ukitaka simu ya kukutawala nunua Iphone....ukitaka simu ya kuitawala nunua Android.!

Ni kweli Mkuu. iPhone ni nzuri sana na inadumu kuliko android ila tatizo huwi huru kama android.
 
Hujawahi tumia iPhone mkuu nyamaza tu maana sio kwa uongo huo.
 
Mkuu...iPhone nliipenda lkn nilvoipata duuh ata miez sita cjamaliza ....app nying tunazotumia kwenye android hazipo kama hii ya jf huipati,kudownlod masongs hakuna na hata matumiz mengine ya kawaida ni issue...

Post sent using JamiiForums mobile app

Acha kudanganya watu wewe! Jf hiyo hapo kwenye iPhone yangu. Na ndo natumia
 
Hv tunaomba kujua ni kifungo gani kwa watu wa iphone maana nasikia hakuna uhuru kabisa, ufafanuzi please

Sent from my GT-N5100 using JamiiForums mobile app

Uhuru wanao usemea watu wa android n ishu ya kudowndload app kwenye google, mtu kukutumia setup direct unafanya install wana milolongo ming kwenye kushare Bluetooth na kingine n kuingia kwenye torrent ku download movies
 
Ooh okay, lakini nafikiri labda wana namna nyingine ya kufanya hayo yote au hawana kabisa uhuru huo?
 
Uhuru wanao usemea watu wa android n ishu ya kudowndload app kwenye google, mtu kukutumia setup direct unafanya install wana milolongo ming kwenye kushare Bluetooth na kingine n kuingia kwenye torrent ku download movies
-unaweza sideload apps kwenye iphone pia
-bluetooth share 2017 haina maana unless unashare na kifaa kisicho na wifi, wifi ina speed zaidi ya mara 100 ya bluetooth.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…