Ushauri. Kamari ipi itaweza kunifaa kati ya hizi?

Ushauri. Kamari ipi itaweza kunifaa kati ya hizi?

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
4,712
Reaction score
11,991
1) Biko.

2) Tatu mzuka

3) Sports bet

4) Kimsomesha dem wangu chuo ili akimaliza Masomo nimuoe.
 
Mkuu cheza no 4. Maana japo mwishoni utakuwa loser lakini huku njiani utakula kulapo hadi amalize masomo
 
Hiyo ya 4 probability ya kufanikiwa ni 1/1000000000000
 
kwanini umsomeshe wakati kuna READY MADE halafu hela ya kumsomesha kwanini asifanyie biashara tu
 
Hahahhahahaa cheza namba nne mkuu koz unakua unajilipaa as time goes lakin biko utamfaidisha mpoki tu atakua anapata mshahara mnono.we unakula za uso
 
Mkuu cheza no 4. Maana japo mwishoni utakuwa loser lakini huku njiani utakula kulapo hadi amalize masomo
Nimependa jinsi ulivyoandika.Sentensi zako zimebeba maana kubwa sana.Mtoa mada kazi kwako.
 
Back
Top Bottom