fakenology
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 1,002
- 673
Wewe ni mzazi wa kiume. Uma binti wa miaka nane. Unasafiri na binti anakulilia sana msafiri nae.
Ili kumridhisha unamuulza bint.
'mwanangu nyamaza. je nikirud nikuletee zawadi gani?'
Anakujibu
'baba niletee tunda la mti wa katikati walilokula Adam na Eva nasikia ni tamu sana na mimi nataka nilile'
ili kumtuliza unakubali.
je ukirud utamletea tunda gani ili akuamini?
ni rafiki yangu imemtokea na zmebaki siku 5 arud.
ushauri wandugu.