Nimekuwa na uhusiano na msichana mmoja kwa muda wa mwezi mmoja na tuliahidiana mambo yakikaa sama tutaoana kwani tayari wazazi wanajua kuhusu swala hili.
Yani kwa sasa sijui nifanye kwa sababu wazazi wote wanajua wazi kwamba muda si mrefu tutafunga ndoa na mambo anayofanya ndo kama hivi, nifanyeje? Nikisema nimuache nitachora picha mbaya kwa wazazi wangu na wake kwa sababu wazazi wangu wanampenda sana dada huyu, na wazazi huwa wanamsifia mtoto wao kuwa ni mwenye tabia njema nifanyeje?

Lakini kinachoniumiza ni kuwa nina rafiki yangu wa karibu ambaye anadai kuwa anasumbuliwa na huyu dada jambo ambalo kwa mara ya kwanza sikuliamini, lakini nilikuja kuamini baada ya kuona ujumbe wake simu ya rafiki yangu na pia siku hizi hana furaha yoyote anapokuwa na mimi na ninapomuuliza anakuwa mkali kidogo kwenye kunijibu. Jambo lingine linaloniumiza ni kuwa amekuwa akiwatangazia watu kuwa mimi ninamsumbua kimapenzi kitu ambacho sikufanya ila uhusiano wetu ulikuwa wa makubaliano kati yangu mimi na yeye.

Inawezekana ni mgeni katika sekta hiyoUhusiano wa mwez mmoja wazaz wanajua? Na mnampango wa kufunga ndoa!? Aisee unashangaza kweli!!......... Ndio matatiza ya kukurupukia wanawake na kuwaahidi ndoa kabla hamjajuana
Haaaa mwezi moja mpaka wazazi wanajua duuh zaidi ya marathon... anyway huna chako hapo... swali lakizushi mshamgegedana??
Mwanachama mwenzangu karibu sanaumeua hapo kwenye Marathon
sina cha kuongeza, labda nisubiri jibu la swali ulilomuuliza!!
uhusiano una mwezi mmoja na wazazi wote wanajua?....mna speed
ndani ya mwezi mmoja anamsumbua rafiki yako na wewe unaona ,halafu hujui cha kufanya,kweli?
pole sana
umeua hapo kwenye Marathon
sina cha kuongeza, labda nisubiri jibu la swali ulilomuuliza!!
Achana na habari ya wazazi wewe ndie unayemjua kindakindaki ,halafu ndugu yangu uchumba wa mwezi mmoja si uchumba umekuwa na haraka mno ya kutambulisha u need at least one year agano la ndoa ni la milele sasa unakimbilia nini ?Nimekuwa na uhusiano na msichana mmoja kwa muda wa mwezi mmoja na tuliahidiana mambo yakikaa sama tutaoana kwani tayari wazazi wanajua kuhusu swala hili.