Ushauri juu ya Swala hili Tafadhali

Ushauri juu ya Swala hili Tafadhali

Mwanachama mwenzangu karibu sana

Umeingia muda muafaka mambo moto moto hakuna kusinzia tangu nilipoingia

hahahah.....ahsante sana mshirika!..nimekaribia , nawe karibu sana!
Niko kushanga haya mahusiano ,mwezi mmoja lkn matukio kibaoooo!!
 
hahahah.....ahsante sana mshirika!..nimekaribia , nawe karibu sana!
Niko kushanga haya mahusiano ,mwezi mmoja lkn matukio kibaoooo!!
Nimeshakaribia amiri jeshi mkuu
 
kumbuka hautakuja kuishi na mzazi wako ,,, fanaya maamuzi wew e kama wewe ya nini kulazimisha penzi lakini? hivi ni nini hasa anacho mkuu huyo dada? na uache tabia ya kumtambulisha demu mapema home loh,.... dikembe njoo huku msaide mwenzio jamani anatia huruma
 
Vuta tu muda wa kufunga ndoa mwambie mwakani mwezi wa sita atajitoa mwenyewe tu na rangi yake halisi utaiona ndo salama yako.

Anaonekana anampenda rafiki yako kuliko wewe ama vipi mwachie rafiki yako wewe atakusumbua.
 
umeua hapo kwenye Marathon
sina cha kuongeza, labda nisubiri jibu la swali ulilomuuliza!!

Mtoa mada amekimbia... amaeona yanamshinda... kama washagegedana bibie pocbo jamaa anacheza chini ya kiwango wakati bibie kiwango chake kipo juu... hata akimuoa ndo full kumegewa na wenye mgegedo wa kiwango chake.....
 
Mkuu! Unaogopa kuacha kisa wazazi wanajua! Watu wameamua kusamehe hadi mahari kbs, PIGA CHINI.......
 
Nimekuwa na uhusiano na msichana mmoja kwa muda wa mwezi mmoja na tuliahidiana mambo yakikaa sama tutaoana kwani tayari wazazi wanajua kuhusu swala hili.

Lakini kinachoniumiza ni kuwa nina rafiki yangu wa karibu ambaye anadai kuwa anasumbuliwa na huyu dada jambo ambalo kwa mara ya kwanza sikuliamini, lakini nilikuja kuamini baada ya kuona ujumbe wake simu ya rafiki yangu na pia siku hizi hana furaha yoyote anapokuwa na mimi na ninapomuuliza anakuwa mkali kidogo kwenye kunijibu. Jambo lingine linaloniumiza ni kuwa amekuwa akiwatangazia watu kuwa mimi ninamsumbua kimapenzi kitu ambacho sikufanya ila uhusiano wetu ulikuwa wa makubaliano kati yangu mimi na yeye.

Yani kwa sasa sijui nifanye kwa sababu wazazi wote wanajua wazi kwamba muda si mrefu tutafunga ndoa na mambo anayofanya ndo kama hivi, nifanyeje? Nikisema nimuache nitachora picha mbaya kwa wazazi wangu na wake kwa sababu wazazi wangu wanampenda sana dada huyu, na wazazi huwa wanamsifia mtoto wao kuwa ni mwenye tabia njema nifanyeje?

Ha ha ha haaaa!!!!
Sikucheki kwa sabab ya kinachokutokea mchana kweupeeeee!!!! Hivi unaoa familia au unaoa mtu atakayekupa amani ndani ya nyumba? Usiwe na mawazo mgando, coz maamuzi yako ya sasa ndiyo yatakayoiongoza familia na kuendeleza uzao wako kwa zaidi ya miaka 100, ukitoa maamuzi ya hovyo sasa kisa unaogopa familia itasemaje....."I assure, you will never live in peace for the rest of your life" Huyo utayemchagua ni wako, utaishi naye wewe, utazaa nae wewe na kila kitu ni juu yako wewe. Uwe na utashi katika maamuzi
 
Uhusiano wa mwez mmoja wazaz wanajua? Na mnampango wa kufunga ndoa!? Aisee unashangaza kweli!!......... Ndio matatiza ya kukurupukia wanawake na kuwaahidi ndoa kabla hamjajuana

kwanini kukawia?
 
ukitaka ujutie maamuzi yako maisha yako yote oa huyo dada.Halafu wenzako hatuendagi kasi hivyo mapenzi yanahitaji kupeana muda wa kufahamiana vizuri ndipo taratibu nyingine zinafata.....
Mwezi mmoja huez ukasema umemfaham mtu vizuri na huez sema unampenda kweli kweli hata maji hayapiti kwenye koo,kwani mapenz ya mwanzo ni sweeter than kuku...WATCH OUT

unajua sikuona sababu ya kukawia
 
kumbuka hautakuja kuishi na mzazi wako ,,, fanaya maamuzi wew e kama wewe ya nini kulazimisha penzi lakini? hivi ni nini hasa anacho mkuu huyo dada? na uache tabia ya kumtambulisha demu mapema home loh,.... dikembe njoo huku msaide mwenzio jamani anatia huruma

nashkuru kwa ushauri wako!
 
Vuta tu muda wa kufunga ndoa mwambie mwakani mwezi wa sita atajitoa mwenyewe tu na rangi yake halisi utaiona ndo salama yako.

Anaonekana anampenda rafiki yako kuliko wewe ama vipi mwachie rafiki yako wewe atakusumbua.

rafiki yangu hampendi huyu dem.
 
Mtoa mada amekimbia... amaeona yanamshinda... kama washagegedana bibie pocbo jamaa anacheza chini ya kiwango wakati bibie kiwango chake kipo juu... hata akimuoa ndo full kumegewa na wenye mgegedo wa kiwango chake.....

sikufanya hivyo kutokana na imani yangu kutoniruhusu.
 
uhusiano una mwezi mmoja na wazazi wote wanajua?....mna speed
ndani ya mwezi mmoja anamsumbua rafiki yako na wewe unaona ,halafu hujui cha kufanya,kweli?
pole sana

hahahahaha mambo ya kidigitali haya mwallu
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha haaaa!!!!
Sikucheki kwa sabab ya kinachokutokea mchana kweupeeeee!!!! Hivi unaoa familia au unaoa mtu atakayekupa amani ndani ya nyumba? Usiwe na mawazo mgando, coz maamuzi yako ya sasa ndiyo yatakayoiongoza familia na kuendeleza uzao wako kwa zaidi ya miaka 100, ukitoa maamuzi ya hovyo sasa kisa unaogopa familia itasemaje....."I assure, you will never live in peace for the rest of your life" Huyo utayemchagua ni wako, utaishi naye wewe, utazaa nae wewe na kila kitu ni juu yako wewe. Uwe na utashi katika maamuzi

nashkuru sana kwa ushauri wako
 
Back
Top Bottom