- Thread starter
- #41
Mwezi mmoja tu wazazi wameshajua duh!???
sikuona sababu ya kukawia kwa sababu nilikuwa nampenda!
Mwezi mmoja tu wazazi wameshajua duh!???
Mwezi mmoja tu wazazi wameshajua duh!???
mkuu umenifanya nicheke sana nanimepunguza stress nilizokuwa nazo leo aise!!
Mbona mnaharaka Sana kama mnaoga nje? Mwezi mmoja Tu mnatambulishana kweli?
Fanya chochote utakachojisikia kufanya kwani nani alikushauri ukamtambulishe kwenu?
mkuu umenifanya nicheke sana nanimepunguza stress nilizokuwa nazo leo aise!!
A month!!! u must be kiddingunajua sikuona sababu ya kukawia
Mapenzi choo cha stendi
baba yangu unaniogopesha
Mwanangu nitakuelewesha ninamaana gani usijali
sikuona sababu ya kukawia kwa sababu nilikuwa nampenda!
sasa hivi ndo utaona sababu ya kukawia kwa sababu hakupendisikuona sababu ya kukawia kwa sababu nilikuwa nampenda!
Nimekuwa na uhusiano na msichana mmoja kwa muda wa mwezi mmoja na tuliahidiana mambo yakikaa sama tutaoana kwani tayari wazazi wanajua kuhusu swala hili.
Lakini kinachoniumiza ni kuwa nina rafiki yangu wa karibu ambaye anadai kuwa anasumbuliwa na huyu dada jambo ambalo kwa mara ya kwanza sikuliamini, lakini nilikuja kuamini baada ya kuona ujumbe wake simu ya rafiki yangu na pia siku hizi hana furaha yoyote anapokuwa na mimi na ninapomuuliza anakuwa mkali kidogo kwenye kunijibu. Jambo lingine linaloniumiza ni kuwa amekuwa akiwatangazia watu kuwa mimi ninamsumbua kimapenzi kitu ambacho sikufanya ila uhusiano wetu ulikuwa wa makubaliano kati yangu mimi na yeye.
Yani kwa sasa sijui nifanye kwa sababu wazazi wote wanajua wazi kwamba muda si mrefu tutafunga ndoa na mambo anayofanya ndo kama hivi, nifanyeje? Nikisema nimuache nitachora picha mbaya kwa wazazi wangu na wake kwa sababu wazazi wangu wanampenda sana dada huyu, na wazazi huwa wanamsifia mtoto wao kuwa ni mwenye tabia njema nifanyeje?