Ushauri juu ya Swala hili Tafadhali

Ushauri juu ya Swala hili Tafadhali

Shukran kwa wote ambao mmenishauri! Nitakwenda kufikiria tena hili swala na kufanya maamizo yenye faida!
 
Una umri gani mkuu maana umenitisha!!!

Ndani ya mwezi
ulitongoza ukakubaliwa na ukapenda kufa then matukio haya yakafuata
1. Umemuahidi ndoa
2. Mkapelekana kwa wazazi
3. Akamtaka rafiki yako
4. Rafiki yako akakueleza hilo jambo
5. Ukamuuliza
6. Ukagundua anatangaza kwa watu kuwa we ni mshika pembe...
7. Possibly mmegegedana
8. Umegundua rafiki yako hampendi
9. Ushakuja mpaka JF kuomba ushauri...
Yani yote hayo ndani ya mwez i
YOU ARE SUPERMAN AMIGO
 
Back
Top Bottom