Ushauri juu ya Suzuki SX4

Feb 22, 2014
29
3
Ndugu naombeni ushauri ambaye ana uzoefu juu ya Suzuki SX4 nataka kuinunua uimara wake, ulaji mafuta na upatikanaji wa spare. Asanteni sana
 
Spea zitakuwepo tu mkuu na uzuri gari nyingi za mjapani zinaingiliana baadhi ya spea
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom