Ushauri juu ya marumaru (tiles )

KATIKA MTIZAMO WA KUDUMU MUDA MREFU, ni zipi zinafaa katika makundi haya
1) zile zenye muonekano kama kioo
2) zile zinazo teleza
3) zile zisizo teleza
 
Huu uzi hata me nimeusave,manake nimeelewa vitu vingi sana,tunaibiwa jaman acheni tu.
 
Naomba kuuliza bei za mafundi kwa ajili ya tiles ina range sh ngapi per square metre?na kama kuna mtu ananamba ya fundi mzuri wa tiles naomba msaada plz
 
Wadau,
Kuna duka lingine ukiacha GoodOne ambalo linauza grade 1 tiles kutoka China?
 
Hao monalisa wanapatikana wapi ili nami niende huko mkuu pls nielekeze kidogo?
 
Mkuu fundi mzuri sana huyu hapa 0714993978,anapatikana dar maeneo ya tabata.
Naomba kuuliza bei za mafundi kwa ajili ya tiles ina range sh ngapi per square metre?na kama kuna mtu ananamba ya fundi mzuri wa tiles naomba msaada plz
 
Duh! Huu uzi kumbe bado unaendelea?

Ushauri: Ukinunua hakikisha unaweka contigency ya kama asilimia 10% kwa ajili ya "maintenance" kwani mara nyingi aina za tiles zinabadilika badilika
 
I ll make followup ifz the game still exist
 

Vipi siku hizi unadai electronic receipt ?
 
Wakuu, nami nimefikia hatua hii, naiombeni update za bei mpya na venue mpya ya tiles jijini Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…