Ushauri juu ya huu ujauzito

Ushauri juu ya huu ujauzito

alianza 7 mkuu akaja 15 mwez wa 3 tarehe 4 mwez wa 4 "akapima akakuta ana mimba ya 2 weaks
Mmmmh mbona kama changa la machoo... 15-7=8-4za period =4. Alikuja ajakauka vzr au anamznguko wa siku 2 za period 3 kakauka? Na mzunguko wake wa mwezi ni siku 20?

Mi huwa nadilii kuangalia damu imeanza lini na ni siju ngapi kisa najumlisha then naless na mimba inashika siku ya 8-15 baada ya period.
 
Naishi na mwanamke, tumekaa 3 years hatujajaliwa mtoto. Mwezi wa pili alipata msiba akaenda kwao akiwa kule alinipigia amepata bibi mtaalam wa tiba asili anampa dawa mwez wa 3 tarehe 7 akaniambia yupo siku zake, akamaliza tarehe 11. Tarehe kumi na 5 akaja tukashiriki tendo kama kawaida tarehe 5 a kanuna kipimo kajipima akaniambia ni mjamzito. Dalili kwel niliziona nilikua nimesafiri nimerudi mm siamini kabisa huu ujauzito kwa hesabu zinagoma kabisa kweli.

Mtu anaweza toka siku zake mimba inase?

Ushauri jaman nisije bambikiwa WanaJF.
huyo mtoto akija kuzaliwa atakuwa mtoto wa dawa.....huyo bibi kafanya yake!
 
Kama kamaliza 11-7 =4 fata formula yangu mwanzooo... naye kaja 15-11=4 hakuna mimba inayoshika siku ya 4 baada ya period lbd siku zinginezo mbelee ndio imeshkaa maana tabia mbaya hamkuachaa haswa wewe si ulikuwa wamfanyaa haswaa! Cha muhimu mimba imeshika mwezi gani basi gull stop sasa kazi kwako kujua huo mwezi ulimfanya na kwa tarehee zipi na hiyo period ulikuwa na hakika imetokelezeaa au umeadithiwa. Wasi wa nini na kuku ni wako?
 
Inawezekana japo haikuwa vzur kupata mtoto kwa kupitia mabibi wa jadi kama wewe ni wa imani ya dini.
Sasa kama ulikuwa na imani kwamba atazaa wakati unajua hana uwezo huo, iweje uwaze kupata mimba siku ambazo siza hatari!? Ndo muujiza wenyewe chezea wabibi wewe, ukitaka hata wewe unaweza ukahamishiwa alaf wakati wakujifungua akajifungue yeye!!
Wabibi inategemea ni wabibi wa dawa dizaini gani so msiwadhalilishee.
Huenda chango lilikaza bibi kamchua basi kwani kapewa hirizi? Kwetu masaini tunawaheshm mnooo na nyie mjini ni kwa hawa bibi zetu mnakuja na dawa zetu ni mafuta ya kondoo,maziwa,asali na kuchuliwa tumbo na si ugangaa wa tunguli wala hirizi. Mliowahi fika kwa mzee Maretu Ar najua mtakubaliana na mimi. Hakuna mambo ya flani kakulooga wala kakufunga wee anza hosp majibu yakiwa upo poa lkn haishk ndio majibu hayo anatumia kukurejesha
 
Wanaume wengine duu wahesabu sanaa,mkuu humuamini mwenzio? wasiwasi wako wa nini ebu kua mkweli please..
 
Mmmmh mbona kama changa la machoo... 15-7=8-4za period =4. Alikuja ajakauka vzr au anamznguko wa siku 2 za period 3 kakauka? Na mzunguko wake wa mwezi ni siku 20?

Mi huwa nadilii kuangalia damu imeanza lini na ni siju ngapi kisa najumlisha then naless na mimba inashika siku ya 8-15 baada ya period.
mzunguko ana wa siku 28 yaani hii inachanganya usiku sijalala anavyongangania ni yangu hv Kuna kipimo kinaeza onyesha siku na Muda wa mimba iliingia lini
 
mzunguko ana wa siku 28 yaani hii inachanganya usiku sijalala anavyongangania ni yangu hv Kuna kipimo kinaeza onyesha siku na Muda wa mimba iliingia lini
Ndio... nenda ulaya na nasikia south pia ipoo na d.n.a pia inawezekana na ujauzito. Mzunguko wake na fomula niliyokupa majibu ni hayoo
 
nenda nae hospital halaf muonane na dk wa wanawake amuelezee mashaka yako naamin atakufafanulia vizur.
 
umenikumbusha mbali sana mkuu mabibi wakinyamwezi wanaweza wakazuia mimba ikaka hata two years ndani.
au kikongwe kutengenezewa dawa akanyonyesha mtoto. ni ngumu kuamini ila yameshatokea.
mwanamke yeyote aliyezaa tayari anauwezo wa kunyonyesha, kikubwa ni kumpa vyakula vya kumstimulate atoe maziwa.
 
No! Let's be real here. Mimba inaweza tunga kuanzia siku ya 9 tangu alipoingia hedhi. We call first day of menses Day One. So, let's count from day 1 tarehe 7 up to tarehe 15....we arrive to 9 days.

Ushauri: kapige nae ultra sound mjue mimba iliingia lini.
ni kweli inatokea, i had my first pg in the 8th day after mp.
 
elewa mwili wa mwanamke hauna formula maalum kwa maana kua njia hiyo ya kalenda sio mara zote ipo constant huweza kubadilika kutokana na hali ya hewa km kusafiri, stress, maradhi, dawa nk. kwahiyo usikariri kaka kwamba lazima siku za hatar zianze kwenye siku ya kumi au 11.sometimes huweza kuwahi kupevusha yai au likachelewa.

halaf kwann humuamin mwenzako? km ni msaliti kwa nini hakupata hiyo mimba tangu kipindi cha nyuma apate baada ya kupewa dawa za bibi? ashawah kukusaliti huko nyuma? kama wewe uko hivo sio lazima na yeye awe hivo. ata akiwa hivo ujue ni ngoma droo.... be positive na usiweke dhana juu ya jambo usilolijua wala kua na ujuzi nalo.

mfano jiweke ktk nafasi yake halaf fikir ungejiskiaje kupata response hiyo unayomuonesha, na usikute kwa kua mmekaa miaka 3 alikua na hamu sasa amepata halaf unajitia kukataa..... inauma kama sio kukera hasa kwa jambo ambalo huenda si la kweli.

point ya muhim ni kua usihukum bila ushahid wala usiwe na dhana mbaya juu ya mwenzako, unaumiza hisia za mwenzako. mwili wa mwanamke hauna formula USIKARIRI, kalenda sio mara zote iko sawa ndo mana hata wanaozuia mimba kwa kufata kalenda wakat mwengine hufeli.
NENDENI HOSPITAL mkaonane na dk wa kina mama ujieleze waziwazi bila kuficha jambo halafu atakupa somo ambalo linaweza kukusaidia, ukiwa unatafta ushaur ni vizur kuomba kwa ambao wana ujuzi na hilo jambo otherwise utapotea kwa kuskiza maneno ya watu.
 
daa una ushauri sana tena sana asante sana umenivutia
 
Wewe hakuna haja ya kupata shida. Jiulize haya
1.Can you impregnant a women
2. Toka siku amalize hedhi hesabu siku kuanzia ya 13 hadi 17 hapo mimba inaweza dakwa, je wewe sikuizo ndo ulikutana nae? Kama mahesabu yanagoma mwambie akutajie mwenye mimba.
 
mkuu naomba unisikilize kwa umakini sana...
hahaha dah usinisikilize kwa umakini,,Just a simple advice,,,mimi zoez la kutafuta mtoto nilipata ushauri humu humu tena juu ya kusoma tarehe ..nilikaa na mwenzangu tukasababisha...
In short its like this siku ya kwanza anayo anza kubleed paaaaaaaap ..(tar 1 )...the count begins ...na siku ya kunasa mimba ya uhakika bila longo longo ni ( Tar 15 ) kutokea siku ya kwanza ya kubleed...
yani kama ana mzunguko wa kawaida basi tar 15 ukipiga laziiiiiiiiima anase...sasa wengine wanasema ata tar 14 ni hatari..ila hii inategemea na nguvu za ku swim za mbegu..maisha ya sasa kutokana na jua stress na utapia mlo ...unakuta tunatusua vitu visivyo vya uhakika ndo mana kuondoa ubahatishaji..ww kamua tarehe hiyo niliyokuelekeza,,

back to the main issue..wanawake wajanja sana..kua makini,,uzuzri wa siku izi hata ukienda kwa ultra sound watakuambia due date ( utabir wa due date ni either siku iyo iyo au moja mbele au moja nyuma ) sasa kama wew mtu wa ku keep records na mpiga mahesabu mzuri,,ukishaambiwa due date ( jitahid uwe unaudhuria clinic nae sasa maana kujua due date ni muhimu ) then uta perform kitu ma auditors tunafanya tuki test inventory inaitwa ROLL BACK TEST ,,utahesabu back wards uone kama miez tisa imeangukia na tar za utungaji mimba

pole sana kwa stress
 
Back
Top Bottom