Inawezekana mzee.
Mfano angalia hizi siku hapa. (zichukulie kama siku sio tarehe) 1 ikiwa siku ya kwanza anaingia hedhi
1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,(11,12,13,14,15,16,17) 18,19,20......28
1-5 SIku akiwa kwa hedhi
6-9 siku salama (10 ipo half half kulingana na masaa aliyoanza au mnayokutana)
11-17 siku hatari. siku ya 14 ikiwa ndio siku ya ovulation.
19-28 Salama (18 nayo iko half half kama ya 10 hapo juu)
NB Hii ni kwa mtu mwenye mzunguko wa kawaida wa siku 28.
Ngono ni hatari, kama haupo kwenye ndoa, Subiri wakati wako. Uzinzi, uasherati ni HATARI kwa afya na afya ya ROHO yako.