fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 6,029
- 6,376
KimenukaMweeeeh
KimenukaMweeeeh
Ndio kwanza kinanukia sasaKimenuka
Nzr tu dada..plz njoo inbox tuyajenge!Habari zenu wapendwa,
Nasoma diploma in accountancy nilikuwa naomba ushauri jinsi ya kujiajiri kulingana na taaluma yangu.
Asanteni